Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nyama
FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA NYAMA
1. tunapata vitutubisho kama protini, vitamini na fati
2. Husaidia kuongeza uzito
3. Huboresha afya ya mifupa
4. Husaidia kwa ukuaji bora na wa haraka
5. Hulinda miili dhidi ya utapia mlo
6. Madini yaliyomo kwenye nyama husaidia mwili katika kujilinda.
7. Nyama ni chakula kitami
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Vijuwe vyakula vya kyongeza nguvu za kiume na mambo yanayopunguza nguvu za kiume
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula korosho
Soma Zaidi...Pera ni tunda bora lakini pia ni dawa, tambua umuhimu wa tunda hili kiafya
Soma Zaidi...Zijuwe dawa za kuongeza nguvu za kiume, na vyakula salama vya kuongeza nguvu za kiume
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula passion
Soma Zaidi...