Umuhimu na nafasi za hijjah katika uislamu

Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

    Rejea Qur’an (3:97).

 

  1. Hijjah na Umrah ni ibada za hali ya juu na zenye malipo makubwa mbele ya Mwenyezi Mungu (s.w).

 

  1. Kuacha ibada ya Hijjah kwa mwenye uwezo kwa kukusudia anastahiki adhabu mbele ya Mwenyezi Mungu (s.w).

Rejea Qur’an (3:97).

 

  1. Kuhiji ni amri ya Mwenyezi Mungu (s.w) kwa waumini wenye uwezo wa kimali na afya.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Fiqh Main: Dini File: Download PDF Views 1218

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game    👉2 Madrasa kiganjani    👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉4 Kitau cha Fiqh    👉5 Kitabu cha Afya    👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina   

Post zinazofanana: