Katika somo hili utakwenda kujifunza aina kuu 3 za variable katika PHP mabzo ni local variable, global variable na static variable.
Kwenye php variable zimegawanyika katika makundi makuu mawili 3. Katika php tunaita variable scope ambazo ni kama:-
Local
Global
Static
Katika level hii utajifunaza aina zote hizi za variable pamoja na matumizi yakle.
Variable ni nini?
Variable ni kitu kinachowakilisha taarifa kwenye program. Ni chombo kinacho beba taarifa fulani. Kwa mfano unaweza kusema X inamaanisha embe, na b inamaanisha dodo. Kisha ukaweka sentensi nipatei embe xb kwa maana embe dodo. Hebu tuone mfano hao chini:
Mfano 1
<?php
$x = "embe";
$b = "dodo";
echo "Nipatia $x $b";
?>
Hii itakupa matokeo haya
Hapo utakuwa umeona namna ambavyo $x na $b zilivyotumika kuwakilisha taarifa na kutengeneza sentensi nzima. Sasa hebu tuone namna ambavyo variable scope zinafanya kazi ama mgawanyiko wa variable.
Globe variable:
Global variable ni variable iliyotengenezwa nje ya function. Variable hii itatumika nje ya function na si ndani ya function. Tutajifunza zaidi uhusu function. Ila unaweza kurejea level 1 mafunzo haya ya php, utajifunza zaidi kuhusu function.
Function yenyewe ni block ya code, sasa endapo variable itapewa thamani nje ya function hii kutumika nje ya function tu, variable hii itaitwa global variable. Angalia mifano hapo chini
Mfano wa function
<?php
function hi(){
echo "haloo bongoclass";
} //mwisho wa function
echo hi();
?>
Function hii itakupa matokeo haya:-
Sasa wacha tuone ni kwa namna gani gobal variable inaweza kutumika nje ya function na si ndani.
Mfano
<?php
$x = 'embe'; //$x ni imepewa thamani nje ya cuncton
$b = 'dodo'; //$b na $x ni global variable kwa kuwa ipo nje ya function
function hi(){
echo "nipatie $x $b"; //$x na $b zipo ndani ya function
}//mwisho wa function
echo hi();
?>
Hii itakupa erro kwa sababu global variable haiwezi kutumiwa ndani ya variable.
Sasa ngoja tuiweke variable nje ya function tuione je itafanya kazi?
<?php
$x = 'embe'; //$x ni global variable
$b = 'dodo'; //$b ni global variable
function hi(){
echo "halooo"; //$x na $b zipo ndani ya function
} //mwisho wa function
echo hi();
//variable $x na $b zipo nje ya function
echo "Nipatie $x $b"
?>
...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwend akujifunza ni kwa namna gani utaweza kuzitumiadata za jsonkwenye program yako
Soma Zaidi...Katika somo hili uatakwenda kujifunza jinsi ya kutumia htaccess ili kubadili muonekano wa link ya website ama blog ili kuifanya iwe rafiki zaidi.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu aina ya header inayoitwa Content-Disposition
Soma Zaidi...katika post hii utajifunza jinsi ya kutengeneza ukurasa wa dashboard kwa ajili ya kutibti post
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuandika constant kwenye PHP. Pia utajifunza utofauti wake na variable
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kazi na matumizi ya construct function na desctruct function kwenye OOP
Soma Zaidi...Faili la env ni moja kati ya mafaili ambayo ni muhimu kwa usalama wa project. Fili hili hutumika kuhifadhi data za siri
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu access modifier ili kuweza kuthibiti nama ya kuzitumia properties kwenye class.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya ku connect database, kwa kutumia php
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kubadili json data na kuwaphp array ama php object. Kwa ufupi tunakwend aku decode json data kuwa phparray amaobject
Soma Zaidi...