Namna ya kuandaa mbegu za parachichi kwa matumizi ya dawa.

Posti hii inahusu zaidi namna ya kuandaa mbegu za maparachichi ili kutumika kama dawa,kwa sababu ya kuwepo kwa tiba kutokana na mbegu hii ni vizuri kujua maandalizi.

Namna ya kuandaa mbegu za maparachichi ili kutumika kama dawa.

1. Chukua mbegu ya parachichi, osha vizuri na hakikisha kwamba imetakata.

 

 

2. Twanga kwenye kinu au kuna kwenye kikunio na hakikisha kuwa imekuwa kama unga.

 

 

 

3. Kausha kwenye jua na hakikisha imekauka na wengine ukausha kwenye kivuli.

 

 

 

4. Chukua unga huo na usage tena na hakikisha unakuwa kama  unga.

 

 

 

5.chukua huo unga weka kwenye kopo au sehemu yoyote unayoona ni nzuri kwa kutunzia.

 

 

 

6. Chukua unga huo uwe unaweka kwenye chai na kunywa kila siku na hauozi hata siku moja.

 

 

 

 

 

 

 

 Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/16/Saturday - 03:27:01 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 4172


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-