Katika somo hili utajifunza jinsi ya kufuta table ya databse kwa kutumia PHP. Pia utajifunza jinsi ya kututa database yeto
Tumesha jifunza namna ya kutengenezadatabase na table kwa kutumia PHP. Sasa somo hili tutajifunza namna ya kufuta database na table. Unaweza kufuta vyote kwa pamoja ama kufuta kimoja kimoja. Endapo utachaguwa kufuta table tu, basi database itabakia lakini ukifuta database, na table pia itafutika na data zilizomo.
Maandalizi makubwa hapa ni kama yaliotangulia Andaa variable zote zinazohitajika kama vile server name, database name, username, na password. Tutakwenda kufuta table yenye jina menu kwenye databse inayoitwa hotel. Hivyo database name yetu itakuwa hotel
$servername = "localhost";
$username = "root";
$password = "";
$dbname = "hotel";
Katika mafunzo ya database hakuwahi kusoma namna ya kufuta table kwa kutumia SQL. Sasa hapa nitakwenda kukujuza jinsi ya kufanya hivyo. SQL inayotumiaka ni DROP TABLE kisha unaweka jina la database yenye hiyo table kisha utaweka kidoto kati kisha ndipo utaweka jina la hiyo database. mfano DROP DATABASE hotel . menu. Hivyo variable ya statement hii itakuwa $sql = "DROP TABLE `hotel`.`menu`";
Baada ya hapo utaandaa if else kwa ajili ya kukupa mrejesho kama umefanikiwa ama umefeli. Kama tulivyoona katika masomo yliyopita kufanya hivyo tutatumia function hii mysqli_query($conn, $sql)
CODE ZA KUFUTA TABLE ZITAONEKANA HIVI
$servername = "localhost";
$username = "root";
$password = "";
$dbname = "hotel";
// Create connection
$conn = mysqli_connect($servername, $username, $password, $dbname);
// Check connection
if (!$conn) {
die("Connection failed: " . mysqli_connect_error());
}
// delete database
$sql = "DROP TABLE `hotel`.`menu`";
if (mysqli_query($conn, $sql)) {
echo "table DELETED successfully";
} else ">...
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza concept ya interface na concept ya polymorphism kwenye PHP OOP.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu server variables
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend kujifunza kuhusu static property na jnsi inavyotumika
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza Jinsi ya kutumia ORM kwa kutumia library ya RedBeanPHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutumia filter_var() function kwa ajili ya kuchuja code zilizo hatari kwenye PHP file
Soma Zaidi...Katika somo hii utakwenda kujifunza jinsi ya kufanya CRUDE operation kwa kutumia PDO. crude operation inahusu create, read, update. Delete.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jisni ya kudhibiti error ambazo zinaweza kutokea wakati wa ku encode na ku decoe json data
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Cookie Headers
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza aina kuu 3 za variable katika PHP mabzo ni local variable, global variable na static variable.
Soma Zaidi...HApa utakwenda kujifunza sasa namna ya kuzisoma post kutoka kwenye blog
Soma Zaidi...