Katika somo hili utakwenda kuona namna ya kutuia if else kwenye data zilizopo kwenye database kwa kutumia PHP
Hapa tutakweda kujifunza jinsi ya kutumia condition sentence zile za if else if else. Kwenye mafunzo ya PHP level 1 somo la 10 tulishajifunza kutumia condition sentence. Sasa hapa tutakwenda kuona jinsi ambavyo tunaweza kuzitumia kwenye database. hapa nitakwenda kukufundisha kwa mifano:
Ni kuwa una Tsh 1300 na unataka kujuwa kwa pesa hiyo ni chakula gani utapata kwa hiyo menu. Kufanya hivi tutatengeneza html table yenye column 4 ya kwanza ni kwa ajili ya id, ya pili ni kwa ajili ya majina ya menu, ya tatu ni kwa ajili ya ststus, kuonyesha ambayo unapata itaandika YES na ambayo hupatu itaandika NO.
<html>
<body>
<style>
table, th, td {
border: 1px solid black;
}
</style>
<table style="width:100%">
<th>Id</th>
<th>Menu zote</th>
<th>Price</th>
<th>Status</th>
Kisha kila kitu ni kama tulivyofanya huko mwanzo kwenye ku connect na ku select data ili uweze kuzisoma kwenye ukurasa wa wavuti. Tutatumie
$sql = mysqli_query($conn, "SELECT * FROM `menu` ");
while($fetch = mysqli_fetch_array($sql)){
?>
<tr>
<td><?php echo $fetch['id']; ?></td>
<td><?php echo $fetch['name']; ?></td>
<td><?php echo $fetch['price']; ?></td>
Sasa katika <td> za status ndipo tutakwenda kutumia if else. Kusema kuwa kama price ni ndogo kuliko 1300 echo isome YES na vinginevyo isome NO
<td>
<?php
if ($fetch['price'] <1300){
echo "<b>YES</b>";
}else echo "NO";
?>
</td>
Code zote zinaweza kuwa hivi
<?php
$servername = "localhost";
$username = "root";
$password = "";
$dbname = "hotel";
$conn = mysqli_connect($servername, $username, $password, $dbn">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili tutakwenda kutumia prepared ststement kwenye ku fetch data kutoka kwenye database.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia constatnt kwenye class.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu array kwenye php, na jinsi zinavyoweza kufanya kazi
Soma Zaidi...Katika somo hilibutajifunza maana ya cURL pamoja na matumini yake
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu static method na inavtotumika kwenye OOP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Cookie Headers
Soma Zaidi...Katika soko hili takwenda kujufunza jinsi ya kutuma sms kwa kutumia PHP. Hii itasaidia kama unataka kutuma OTP yaqni Onetime password
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza ukurasa wa kupost kwa kutumia html form
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza concept ya traits kwenye OOP. hii itakusaidia ku solve baadhi ya changamoto zinazotokana na inheritance
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza concept mpya ya abstract class na abstract method kwenye OOP.
Soma Zaidi...