Posti hii inahusu zaidi dalili za kuonyesha kuwa Kuna maambukizi kwenye kitovu hasa hasa chini ya kitovu.
1. Kwanza kabisa dalili ya kwanza kuonyesha kuwa Kuna maambukizi chini ya kitovu ni kuwa maumivu yanaweza kuwa chini ya kitovu, Kati kati ya kitovu, kulia na kushoto kwa kitovu pia Kuna Yale yanayoweza kusambaa
2. Pia maumivu mengine chini ya kitovu uwapata wanawake wale wanaopenda kufanya mapenzi mara kwa mara na wanaume mbalimbali kwa mara nyingi.
3. Na pia Kuna maumivu ambayo uwapata wanawake wakiwa wameinama , wakati wa kunyanyua vitu vizito, wakati wa kucheka au kuvimba , na wengine wakati wamelala kifudifudi.
4. Baada ya kuona maumivu ya namna hii ni njia ya kuona wazi kwamba Kuna maambukizi chini ya kitovu na matibabu ni lazima.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na mdudu kwa kitaalamu anaitwa Anopheles.na anasambazwa na mbu jike pale anapotafuta chakula hasa wakati akiwa na mimba. Mbu hawa hupenda kuishi kwenye mnyasi, madibwi haswa kwenye maji yaliyo simama.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa inni, hizi ni dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye ugonjwa wa inni, Dalili zenyewe ni kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa upele na matatibabu yake, ni ugonjwa unaosabavishwa na mdudu kwa kitaalamu huitwa mites sarcoptes scrabie mdudu huyu usababisha miwasho kwenye ngozi.
Soma Zaidi...Tonsillitis kwa kiswahili hujulikana kama mafundomafundo ambayo hutokea pande mbili karibu na Koo na huwa na uvimbe na zikikaa kwa muda bila matibabu hutoa usaha.Dalili na dalili za ugonjwa wa tonsillitis ni pamoja na
Soma Zaidi...Fangasi mdomoni wanaweza kuwa tatizo endapo hawatatibiwa mapema. Wanaweza kuongeza majeraha kwenye kinywa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu za wanawake kuwa na maumivu kwenye viungo, ni ugonjwa unaowapata na wanaume ila kwa wanaweza unaowapata sana ukilinganisha na wanaume.
Soma Zaidi...Katika post hii utajifunza kuhusu ugonjwa wa vitiligo, chanzo chake, dalili zake na matibabu yaje
Soma Zaidi...