Je utambuzi wa maambukizi ya ukimwi hupatikana mda gani pale mtu anapoambukizwa
Kuna ukimwi na HIV na kila kimoja kina dalili zake na muda wa kuonyesha hizo dalili.
Swali
Je utambuzi wa maambukizi ya ukimwi hupatikana mda gani pale mtu anapoambukizwa
Jibu:
👉Dalili za HIV aua dalili za VVU huweza kuonekana baada ya wiki ya pili hadi ya sita baada ya kuathirika ama kupata maambukizi. Kisha dalili hizi hupotea na hazitarudi tena.
👉Dalili za UKIMWI hutokea baada ya miaka 5 hadi 10. Huwenda wengine ikachelewa zaidi.
⌠kumbuka huwezi kujuwa kama umeathirika bila ya vipimo. Hakikisha unapata vipimo kuwa na uhakika na afya yako.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉2 Madrasa kiganjani 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉6 kitabu cha Simulizi
Post zinazofanana:
Dalili za UKIMWI kwa Vijana wa Kiume
Posti hii inatoa mwongozo wa kitaalamu kuhusu dalili zinazoweza kujitokeza kwa kijana wa kiume mwenye maambukizi ya virusi vya UKIMWI (VVU). Lengo ni kuondoa unyanyapaa na kuhimiza umuhimu wa kupima na kuanza matibabu mapema.
Soma Zaidi...Jinsi ya kutofautisha maumivu ya kichwa cha kawaida na ya malaria.
Maumivu ya kichwa ni tatizo la kawaida linaloweza kusababishwa na mambo mengi, kuanzia uchovu, njaa, hadi magonjwa kama malaria. Kwa kuwa malaria ni ugonjwa unaoweza kuwa hatari ndani ya muda mfupi, ni muhimu kujua jinsi ya kutofautisha maumivu ya kichwa ya kawaida na yale yanayoashiria maambukizi ya vimelea vya malaria. Makala haya yanakupa mwongozo wa dalili za msingi ili uweze kuchukua hatua sahihi za kiafya.
Soma Zaidi...Kujiamini na jinsi ya kuondoa hofu ya kushindwa.
Hofu ya kushindwa ni moja ya vikwazo vikubwa vinavyozuia watu wengi kufikia malengo na ndoto zao. Inatufanya tubaki kwenye maeneo tuliyoyazoea (comfort zone) na kuogopa kujaribu fursa mpya. Makala haya yanachambua jinsi hofu hii inavyofanya kazi na kukupa mbinu za kisaikolojia za kukusaidia kujenga ujasiri na kubadili mtazamo wako kuelekea mafanikio makubwa.
Soma Zaidi...Kuhara na kutapika (Cholera): Kinga na tiba ya haraka.
Kipindupindu ni ugonjwa hatari wa mfumo wa mmeng’enyo wa chakula unaosababishwa na bakteria Vibrio cholerae. Ugonjwa huu husababisha kuhara sana na kutapika, hali inayosababisha upungufu mkali wa maji mwilini (dehydration) ambao unaweza kuua ndani ya saa chache ikiwa hautatibiwa. Makala hii inasisitiza umuhimu wa utambuzi wa haraka na uingizaji wa maji mwilini kama tiba kuu.
Soma Zaidi...Dalili za uchovu wa joto mwilini.
Uchovu wa joto ni hali ambayo dalili zake zinaweza kujumuisha kutokwa na jasho kubwa na mapigo ya haraka, ambayo ni matokeo ya joto la mwili wako. Ni mojawapo ya magonjwa matatu yanayohusiana na joto, huku tumbo la joto likiwa kali zaidi na Kihar
Soma Zaidi...