PHP - somo la 22: Kutafuta jumla, wastani na idani ya vitu kwenye database kw akutumia PHP
Katika somo hili utakwenda jifunza jinsi ya kuhesabu row kwenye database, kutafuta wastani wa taarifa kwenye database na kutafuta idadi yake.
Kabla ya kuendelea na somo kwanza Kwenye database yetu ya hotel, kwenye table ya menu ongeza data zifuatazo, kwa kuingia kwenye uwanja wa SQL kisha una pest data hizi:-
Rejea mafunzo ya database jinsi ya kuongeza data kwenye Mysql kwa kutumia SQL.
(6, 'supu', 'Pata supu ya smaki, pweza, na nyama ', 1800),
(7, 'Soda', 'Pata soda za aina zote kwa bei ileile', 500),
(8, 'juisi', 'Kunywa juisi za matunda halizi umalize kiu yako', 1200),
(9, 'internet', 'Huduma ya internet ipo kwa bei poa kwa lisaa', 900),
(10, 'Usafiri', 'Tunatoa usafiri wa haraka ', 22000);
(1, 'ugali', 'pata ugali mtamu', 1000),
-
Kuhesabu idadi ya row kwenye tabl
Kama unataka kujuwa je kuna menu ngapi kwenye orodha, utatakiwa kuhesabu idadi ya row ambazo ndio zinabeba hizo data. kufaya hivi tutatumia function ya kuhesabu row ambayo ni COUNT(). Rejea mafunzo ya database somo la 12 hivyo variable ya $sql itakuwa hivi
$sql = "SELECT COUNT(name) FROM menu";
Pia tutakuwa na variable nyingine kwa ajili ya kuangalia connection hii tutaipa jina la result $result = $conn->query($sql) Pia tutahitajika kuwa na variable nyingine kwa ajili ya ku fetch data hii itakaa nadni ya while ili kuangalia kama connection imefanyika iweze ku fetch data. Variable hiyo itatupa matokeo ya $result ambayo imeangalia connection.Variable hii tutaiita $row ambayo itakuwa hivi $row = mysqli_fetch_array($result)
Kwa pamoja na while tunapata:-
while($row = mysqli_fetch_array($result)){
echo "Jumla ya row ni :". $row['COUNT(price)'];
}
Code nzima ya kuhesabu row itakuwa hivi:
<?php
$servername = "localhost";
$username = "root";
$password = "";
$dbname = "hotel";
// Create connection
$conn = mysqli_connect($servername, $username, $password, $dbname);
//sql query to count rows
$sql = "SELECT COUNT(name) FROM menu";
$result = $conn->query($sql);
//display data on web page
while($row = mysqli_fetch_array($result)){
echo "Jumla ya row ni :". $row['COUNT(name)'];
}
//close the connection
$conn->close();
?>
-
Kuangalia Kutafuta average ya price zote kwenye menu
Katika mafunzo ya database tulijifunza kuwa unapotaka kutafuta average tunatumia function hii AVG() na SQL yake inakuwa hivi SELECT AVG(price) FROM menu hivyo kuandaa sql variable itakuwa hivi $sql = "SELECT AVG(price) FROM menu"
Mambo mengine yatabakia kama yalivyo, utatakiwa kwenye echo badala ya $row['count(price)sasa itakuwa $row['AVG(price)
Kama kila kitu kipo sawa. Pest code hizi kwenye ukurasa wako wa php Itakuletea average ya price zote kwenye menu.
<?php
$servername = "localhost";
$username = "root";
$password = "";
$dbname = "hotel";
// Create connection
$conn = mysqli_connect($servername, $username, $password, $dbname);
//sql query to find average
$sql = "SELECT AVG(price) FROM menu";
$result&nb...
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitabu cha Afya 👉2 Simulizi za Hadithi Audio 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 Madrasa kiganjani 👉5 Bongolite - Game zone - Play free game 👉6 Kitau cha Fiqh
Post zinazofanana:
PHP BLOG - somo la 9: Jinsi ya ku edit poost
Katika somo hil utawenda kujifunza jinsi ya ku edit post kwenye databse
Soma Zaidi...PHP somo la 83: Server Variables
Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu server variables
Soma Zaidi...PHP somo la 64: Jinsi ya kutengeneza database na kuingiza data kwa kuumia PDO
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia PDO kutengeneza database, kuteneneza table na kuingiza data moja na zaidi ya moja.
Soma Zaidi...PHP somo la 80: Authentication header
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Authentication header, najinsi ya kutuma taarifa hizo na kuzisoma
Soma Zaidi...PHP somo la 74: aina za http headerna server variable
Katika somo hii utakwenda kujifunza aina za http header na server variable. Hapa tutakwenda kuchambuwa mgawanyiko wa httpheader na kazi zake.
Soma Zaidi...PHP somo la 97: Jinsi ya kuchakata data zaidi kwa kutumia ORM
Katika somo hili utakwenda kujifunz akuchakata data zaidi kw akutumia ORM kama ku join table
Soma Zaidi...