Katika soo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kubaduli aina moja ya data kwena aina nyingine. Kwa mfano unaweza kubadili namba...
Katika somo hili utajifunza jisni ya kujuwa aina ya data iliyotumika kwenye python
Katika somo hili tunakwenda kujifunza aina nyingine za data ambazo hutumika kwenye python.
Katika somo hili utakwenda kujifunza aina za data ambazo hutumika kwenye python. hapa utajifunza aina kuu 3 za data.
Katika somo hili utajifunza maana ya variable, na sheria za kutengeneza variable kwenye python. Pia utajifunza maneno ambayo hayafai kutumiwa...
Katika somo hili utakwenda kujifunza syntaxy za python yaani sheria na kanuni za kuandika code za python
Katika somo hili utajifunza kuhusu maana ya python na kazi zake. pia jinsi ya kuandaa kifaa chako kwa ajili ya...
Katika somo hili tutakwenda kutumia prepared ststement kwenye ku fetch data kutoka kwenye database.
Katika somo hili utajifnza jinsi ya kufanya prepared statement kama njia ya kuzuia sql ingection kwenye PHP blog
Katika somo hili utajifunza jinsi ya kufanya sanitization kwenye user input ili kuzuia sql injection kwenye database.
Katika somo hil utawenda kujifunza jinsi ya ku edit post kwenye databse
katika post hii utajifunza jinsi ya kufuta post kwenye database. pia utajifunza jinsi ya kufuta picha kwenye server
HApa utakwenda kujifunza sasa namna ya kuzisoma post kutoka kwenye blog
katika post hii utajifunza jinsi ya kutengeneza ukurasa wa dashboard kwa ajili ya kutibti post
Katika ukurasa huu utakwenda kujifunz jinsi ya kuandika code za php kwa ajili ya kutuma post yetu kwenye blog.
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza ukurasa wa kupost kwa kutumia html form
Hapa utajifunza jinsi ya kutengeneza table ambayo tutaitumia kwenye blog yetu
Katika somo hili unakwenda kujifunza jinsi y kutengeneza database na kuungansha kwenye blog yetu.
Katika course hii utakwenda kujifundisha jinsi ya lutengeneza blog kutoka mwanzo hadi mwisho.
Katika project hii utakwenda kufunza jinsi utakavyoweza kutengeneza keyboard ya online kwa kutumia javascript
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ambavyo utaweza kutumia javascript kutengeneza kikokotoo cha hesabu yaani calculator
Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu ku set time. Yaani tutaweka muda ambao code zinatakiwa ndio zilete matokeo.
Katika somo hili tutakwenda kujifunza khusu while loop na do while loop.
Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutumia forOfLoop. Hii ni aina ya loop ambayo yenyewe inahusisha item zote kwenye array.
Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.