picha

DART somo la 7: matumizi ya if, else, if else, else if kwenye Dart

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu namna ambavyo program inaweza kufanya maamuzi kulingana na mashart fulani.ama namna ambavyo program inaweza ku run code zaii ya mara moja kulingana na mashart. Hapa tutazingumzia flow of control statement

Ili uweze kwanza kuelewa somo hili nitakupa case hapa mbili. 

Case 1: umetkiwa ktengeneza program kwa ajili ya menyu ya chakula chuleni. Unatakiwa program hiyo inapofika muda wa kula asubuhi saa 4 iseme chakula cha asubuhi kipo tayari na wakati wa mchana saa 7 iseme chakula cha mchana kipo tayari na inapofika jioni saa 1 usiku iseme  chakula cha usiku kipo tayari mwisho inapofika saa 4 usiku iseme  mlale salama.  

 

Kwa hiyo hapo utaona tumeweka masharti kulingana na saa. Shari la kwanza ifike saa 4 asubuhi ndipo iseme chakula cha subuhi kipo tayari… na kuendelea masharti mengine. Hii ndio tunaita descision making

 

Case 2: umetakiwa kutengeneza  table (zile tabo za kuzidisha katika somo la hesabu) ya 2 kwa ajili ya wanafunzi wa darasa la tatu. Sasa badala ya kuandika moja moja utahitaji program yako iandike yenyewe. Hapa ndio tunaita  loop .mfano mzui wa loop ni music player, kwamba unawez akuchaguwa mziki ujirudie rudie mara ngapii.


 

Flow statemenet zimegawanyika katika makundi makuu matatu ambayo ni:-

  1. Descision making: hapa program inafanya maamuzi kulingana na masharti atakayoweka. Hizi ni kama
    1. If
    2. Ifelse
    3. If else if
    4. Switch case
  2. Looping: hapa program inarudia rudia ku run code zaidi ya mara moja kulingana na masharti yatakayowekwa.. Hizi ni kama :-
    1. For loop
    2. For in loop
    3. While loop
    4. Do while loop
  3. Jumping: hapa program ita run kisha itawacha baadhi ya block za code na kuendelea tena kulingana na masharti yatakayowekwa.

 

  1. If statement:

Hii ni sawa na neno la kiswahiki ikiwa. Kwa mfano tunasema ikiwa umri wa mtoto ni miaka 7 program iseme aende shule. Sawa ngoja tuone jinsi ya kufanya program yetu itumie sharti hili.

 

Jinsi ya kuandika descision making statemen

If ( weka sharti) {

Weka code

}

Kama unavyoona hapo kwanza utaanza na keyword if likifuatiwa na na mabano ()  ndani ya mabano hayo weka charti lako. Ambapo ni umri wa mtoto iwe miaka 7. Kisha utaweka mabano {} ambapo ndani ya mabani hayo utaweka nini kitokee kama sharti limefikiwa. Kwa mujibu wa mfano wetu hap tunataka program iseme aende shule. Sasa wacha tuone jinsi ya kuandika hizo code.

 

Kwanza tutaanz akuweka variable yetu ambayoiabeba umri wa mtoto. Kisha tutaweka charti letu .

void main() {

 var umri = 7;

 if(umri == 7){

   print('aende shule');

 }

}

 Sasa tunataka kusema ikiwa umri wa mtoto ni zaidi ama sawasawa na miaka 7 iseme aende shule.

void main() {

 var umri = 7;

 if(umri >= 7){

   print('aende shule');

 }

}

Unaweza kutumia naoperator nyingine kama <, 1=, <= na nyinginezo kufanya mazoezi zadi.


 

Sasa hapo kuna tatizo kama umriutakuwa ni chini ya ...

Ingia sasa ili uweze kusoma makala hii yote.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu image Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: DART Main: Masomo File: Download PDF Views 1189

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉2 Dua za Mitume na Manabii     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Simulizi za Hadithi Audio     👉5 kitabu cha Simulizi     👉6 Madrasa kiganjani    

Post zinazofanana:

DART somo la 11:break and continue statement kwenye Dat loop

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu break na continue kwenye Dart loop za for loop na while loop.

Soma Zaidi...
DART somo la 8: Matumizi ya switch case

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu switch case na jinsi inavyofanya kazi kwenye Dart.

Soma Zaidi...
DART SOMO LA 16: String method zinazotumika kwneye Dart

Katika somo hili utakwenda kujfunza kuhusu String method zinazotumika kwenye Dart.

Soma Zaidi...
DART somo la 5: Reserved keywords kwenye lugah ya Dart

Katika soo hili utakwenda kujifunza kuhusu reserved keywords katika Dart

Soma Zaidi...
DART somo la 33 concept ya polymorphism

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu concept ya polymorphism.

Soma Zaidi...
DART somo la 18: Dart method zinazotumika kwenye List data type

Katika somo hili utakwenda kujifunza method yhinginge zinazofanya kazi kwenye list data type kwenye Dart.

Soma Zaidi...