Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu switch case na jinsi inavyofanya kazi kwenye Dart.
Katika somo hili tutakwenda kutumia mifano yetu ya somo lililotangulia ili kuweza kujienga uelewa zaidi.
Jinsi ya kuandika switch case
switch(expression){
Case value:
Code
break
}
Ukiangalia hapo ni kuwa utaanza na keyword switch utaweka mabano () kama kawaid ndani yake ni value tunayotaka ku test ikufuatiwa na mabano {}. Kisha utaweka keyword case ikifuatiwa na sharti unayotaka ku test kisha utawka nukta pacha ( : ). Baad aya hapo ni code ambazo zita run kisa utaweka keyword break kwa akiji ya ku stop code zisiendelee ku run
Wacha tuone mambo yanavyokuwa:
Tunataka ikiwa umri wa mtoto ni miaka 7 aambiwe aende shule.
void main() {
var umri = 7;
switch(umri){
case 7:
print('aende shule');
break;
}
}
Sasa tunataka kama ni chini ya kiaka 7 aambwe hajafika umri, na kama miaka 7 aambiwe aende shule, na kama ni miaka 13 au zaidi aambiwe aend">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu operator kwenye Dart, kazi zake na jinsi ya kuzitumia.
Soma Zaidi...Katika masomo yaliopita tumesha jifunza jinsi inheritance inavyokuwa, ila hatujaona kwa namna gani utaweza ku inherit constructor method. Somo hili litashughulika na swla hilo.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kuzungumzia kuhusu parameter kwenye Dart function. Pia tutakwenda kuona mambo mengine yanayohusu function
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu concept ya generics ili kuweza kufanya kazi na aina mbalimbali za data kwenye class.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza method yhinginge zinazofanya kazi kwenye list data type kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kuingia ndani zaidi kwenye somo la function. Hapa tutakwenda kuona aina za function.
Soma Zaidi...Katika somo hii utakwenda kujifunza kuhusu concept mixin na jinsi inavyoweza kutumika kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutatkwenda kuziona baadhi ya xyntax yaani kanunu za uandishi wa code za dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuunganisha databse na Dart. Pia utajifunza jinsi ya kuset environment kwenye kompyuta ili kuweza kutumia Dart sdk kwenye CMD.
Soma Zaidi...Ka tika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu concept ya named constructor na constant constructor kwenye Object Oriented Programming.
Soma Zaidi...