Katika somo hili tutakwenda kuingia ndani zaidi kwenye somo la function. Hapa tutakwenda kuona aina za function.
Kawakuwa tumesha jifunza mengi kuhusu function na parameter sasa hapa nakwend akukuletea aina za function ambazo zipo:
Aina za function
Mfano:
void salamu(){
print('habari ya muda huu ');
}
void main(){
salamu();
}
Mfano:
void jumlisha(x, y){
print(x +y);
}
void main(){
jumlisha(4, 9);
}
jumlisha(){
int x = 4; int y = 6;
return x + y;
}
void main(){
print(jumlisha());
}
eneo(int ur, int up) {
return ur * up;
}
void main(){
print(eneo(6, 8));
}
Function ambayo haina jina
Tulishaona kuwa function inatakiwa iwe na jina. Sasa kuna function ambayo yenyewe jina ila inaweza kubeba parameter. Function hii inatambulika kama anonymous function au lambda function au closure function au nameless function. Yenyewe inaweza kuwa katika mtindo huu:-
(parameter){
Code
}
Mfano:
void main() {
var jumlisha = (int x, int y){
return x +y;
};
print(jumlisha(4, 6));
}
Ukiangalia hapo utaona kuwa function yetu haina jina, lakini tumeweza kuitumia.
Lambda function
Huu ni mfuo wa kuandika functio kwa ufupi kw akutumia arrow yaani mshale ( => ) function hii huitwa arrow function wacha tuone mfano hapo chini. Tunakwenda kutengeneza program kwa ajili ya kubadili mita kuwa kilopita.
Kanuni za kihesabu zinasema kilomita moja ni sawa na mita 1000. Hiyo ili tubadili mita kuwa kilomita itatubidi tugawanye kwa 1000.
import 'dart:io';
badili(mita){
return mita /1000;
}
void main(){
print('andika Mita');
double mita = double.parse(stdin.readLineSync()!);
print(badili(mita));
}
Sasa tunakwenda kuibadili function yetu kuwa katika mtindo wa lambda function.
Kanuni
returnType functionName(parameters...) => expression;
Ukiangalia hapo yale mabano {} tumeyatoa.
impor">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu function kwenye dart, jisni ya kziandika na matumizi yake.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza aina za data zinazotumika kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma na kuandika faili kwa kutumia Dart programming.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza Object pamoja na properties. Haa kwa ufupi tutakwenda kujifunza jinsi ya kutumia class.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu inheritance, na inavyoweza kutumika kwenye Dart OOP.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kuzungumzia kuhusu parameter kwenye Dart function. Pia tutakwenda kuona mambo mengine yanayohusu function
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunz ajinsi ya kutumia library ya html kwenye Dart. somo hili litakupeleka kujifunza jinsi ya ku display dart output kwenye faili la html.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu enum na inavyotumika kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu while loop na do while loop zinavyofanya kazi katika Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu kazi za dart language. Pia nimekuandalia istoria fupi ya lugha ya DART.
Soma Zaidi...