Wajuwe wanasanyansi na lugha za kompyuta walizoanzisha
Hii ni list ya wataalamu wa kompyuta amba ni wagunduzi wa lugha zaidi ya 20 za kompyta.
Katika list hii nimeziwaca lugha ambazo zimeanshishwa na makampuni moja kwa moja kama kotlin, xml na nyinginezo.
- python imeanzishwa na Guido van Rossum
- php imeanzishwa na Rasmus Lerdorf
- java imeanzishwa na James Gosling
- dart imeanzishwa na Lars Bak na Kasper Lund
- html imeanzishwa na Tim Berners-Lee
- javascript imeanzishwa na Brendan Eich
- c++ imeanzishwa na Bjarne Stroustrup
- c imeanzishwa na Dennis M. Ritchie
- c# imeanzishwa na Dennis M. Ritchie
- Go imea...
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 ai web app 👉2 Kitabu cha Afya 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 web hosting 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Dua za Mitume na Manabii
Post zinazofanana:
Njia ya haraka ku download video za Youtube
Katika post hii utakwenda kujifunza hatuwa kwa hatuwa za ku download video za Youtube kwa haraka.
Soma Zaidi...Ijuwe platform ya IndexNow
Je umeshawahi kuweka post yako kwenye blog halafu ikachukuwa mpaka siku 3 kuonekana kwenye search engine kama Google, Index ama Bing. Bsi project ya IndexNow imekuja kutatuwa tatizo hilo
Soma Zaidi...Je unahitaji kutengenezewa Android App
Bongoclass tunatoa Fursa ya kupata huduma ya kutengenezewa App
Soma Zaidi...Nisome language Gani ili niweze kutengeneza App
Kama Bado unajiuliza u some language IPO ya kompyuta ili uweze kutengeneza App basi post hii itakusaidia.
Soma Zaidi...Njia za kujifunza Programming language yeyote ile
Hapa nitakwenda kukueleza njia ambazo naweza kuzituia ili kujifunza programming kwa urahisi
Soma Zaidi...Changamoto wanazokutana nazo wanafunzi wa tehama
Hizi ni baadhi ya changamoto wanazokutana nazo wanafunzi wa tehama kwenye darasa la Bongoclass
Soma Zaidi...