Katika post hii utakwenda kujifunza jinsi ya kutuma email kwa kutumia php function ya email()
KUTUMA EMAIL:
Katika somo hili tunakqenda kujifunza jinsi ya kutuma email kwa kutumia php. Kuna njia kama tatu za kutuma email kwa kutumia php. Ila katika somo hili .nitakufundisha njia moja ambayo ni kwa kutumai mail().
Njia hii ni nyepesi, ila itahitaji uwe umeshahost. Haifanyikazi kwenye localhost. Hivyo hakikisha unahost faili lako live ndipo liweze kufanya kazi.
Function hii ina sehemu kuu tano yaani parameta 5 ambazo ni:-
To
From
Header
Message
Subject
To hii itabeba email ya mpokeaji wa hiyo email. From hutumika kubeba email ya mtumaji. Header hii hubeba meta information.kama wapi ukumbe umetoka, na wapi utaweza ku reply. Massage hapa ndipo ambapo utaandika meseji yako. Sub">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda Jinsi ya kutengeneza ORM inayofanya CDRUDE operation.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutuma email kwa kutumia email() function ya PHP. Hii ni njia rahisi zaidi ya kutuma email. Ila hufanya kazi kwenye hosting.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Cross - Orgn Resource Sharing ama inafupishwa kama CORSE header
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuandika function za PHP kama require() na iclude()
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kuhifunza kuhusu Custom header na aina zake
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu content-type header.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu aina za loop DO, FOR, FOREACH LOOPS kwenye PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kazi na matumizi ya construct function na desctruct function kwenye OOP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia PDO kutengeneza database, kuteneneza table na kuingiza data moja na zaidi ya moja.
Soma Zaidi...hapa utawenda utuma database wa ajl ya utengeneza maudhu ya PDF.
Soma Zaidi...