DART somo la 13: function kwenye dart

DART somo la 13: function kwenye dart

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu function kwenye dart, jisni ya kziandika na matumizi yake.

Function ni nini?

Function ni kifungu cha code (block of code) ambacho hufanya kazi maalumu. Function inaweza kufanya kazi kwa kujirudia rudia bila ya kikomo kila itakapoitwa. Function husaidia kutokurudiarudia kuandika code.

 

Mambo ya kuzingatia:

  1. Function hutumika zaidi ya mara moja
  2. Function haifanyikazi mpaka iitwe
  3. Function inakuwa na parameter

 

Jinsi ya kuandika function

  1. Function ambayo haihitaji ku return value

Returntype  name (){

Code

}

 

Hapo utaona kwanz aunaanza return type hii itafahamisha kuwa function yako ita rudisha data amba laa. Kama haitarudisha data tutaweka void.  Baada ya return type inayofuata na name yaani  jina la hiyo function, kisha utaweka mabano () ndani ya haya mabano tutakuja kuweka parameter. Kisha utaweka mabano {} ndani ya haya mabano ndipo utaweka code ambazo unataka zifanye kazi. Wacha tuone mifano huwenda ukaelewa zaidi:-

 

Mfano 1: 

Tunatengeneza program ya kuandika neno bongoclass mara 10. Kwanza tuatatengeneza hiyo fnction ambayo ita print nrno bongoclass

void bongo(){

 print('Bongoclass');

}

 

Kisha tutaiita (call) hiyo funcyion kwenye main().

bongo(){

 print('Bongoclass');

}

void main(){

 bongo(;

}

Sasa kama tutaiita mara 10 itaprint hilo neno mara 10

void bongo(){

 print('Bongoclass');

}

void main(){

 for(int x = 0; x<10; x++){

   bongo();

 }

}

 

Jinsi ya kuweka parameter kwenye function

Tuchukulie mfano kama huu wa mwanzo. Tunataka mtumiaji aweze kuandika kwenye we anataka neno bongoclass litokee mara ngapi. Kwa mfano akitaka litokee mara 6 ataandika 6 kwenye user input kisha function yetu itafanya kazi husika.

 

Sasa katika hali hiyo tutahitaji kuweka variable ambayo itawakilisha hiyo 6 atakayowekamtu. Hiyo variable ndio parameter kwa mfano tutaiita idadi. Na hiyo namba 6 atakayoinginza mtu huitwa argument. Kwa ufup tunasema parameter ni jina ila argument ni value yenyewe.

 

Parameter zinaweza kuwa option, default ama required. Tutakwenda kuziona kadiri somo linavyoenda.wacha tuone mfano ambao mtumiaji ataweka argument na program kutoa majibu

 

 import 'dart:io';

void bongo(idadi){

 for(int x = 0; x<idadi; x++){

   print('Bongoclass');

 }

}

void main(){

 print('ANDIKA IDADI');

 int idadi = int.parse(stdin.readLineSync()!);

 bongo(idadi);

}

 

Kuna kitu hapa tunataka kujifunza kwanza. Ukiangalia hapo utaona variable tumeitengenezea nje ya function.int idadi = int.parse(stdin.readLineSync()!);

 Sasa kama utaiweka kwenye function utaona kuna error

import 'dart:io';

void bongo(idadi){

 int idadi = int.parse(stdin.readLineSync()!);

 for(int x = 0; x<idadi; x++){

   print('Bongoclass');

 }

}

void main(){

 print('ANDIKA IDADI');

 bongo(idadi);

}

 

Sasa ili kutatua tatizo itatibidi mixin hii ni njia ambayo hutumika kufanya class iweze kufanya kazi zaidi na zaidi. Lakini h...

Ingia sasa ili uweze kusoma makala hii yote.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: DART Main: Masomo File: Download PDF Views: 975

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Dua za Mitume na Manabii     👉2 web hosting     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉5 Bongolite - Game zone - Play free game     👉6 kitabu cha Simulizi    

Post zinazofanana:

DART SOMO LA 14: Aina za function kwenye Dart

Katika somo hili tutakwenda kuingia ndani zaidi kwenye somo la function. Hapa tutakwenda kuona aina za function.

Soma Zaidi...
DART somo la 22: Jinsi ya kutumia html library kwenye Dart

Katika somo hili tutakwenda kujifunz ajinsi ya kutumia library ya html kwenye Dart. somo hili litakupeleka kujifunza jinsi ya ku display dart output kwenye faili la html.

Soma Zaidi...
DART somo la 44: Jinsi ya ku install mysql kwenye program ya dart

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuunganisha databse na Dart. Pia utajifunza jinsi ya kuset environment kwenye kompyuta ili kuweza kutumia Dart sdk kwenye CMD.

Soma Zaidi...
DART somo la 11:break and continue statement kwenye Dat loop

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu break na continue kwenye Dart loop za for loop na while loop.

Soma Zaidi...
Dart somo la 26: DART OOP maana ya object, na jinsi ya kuitengeneza kwenye OOP

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza Object pamoja na properties. Haa kwa ufupi tutakwenda kujifunza jinsi ya kutumia class.

Soma Zaidi...
DART somo la 8: Matumizi ya switch case

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu switch case na jinsi inavyofanya kazi kwenye Dart.

Soma Zaidi...