Huu ni mwendelezo wa mafunzo ya PHP na hapa tunaaza rasmi advanced PHP. tutakwenda kuingia ndani zaidi kwenye PHP. Ni vyema kabla ya kuanza course hii ya advanced PHP uwe una uelewa wa kutosha kuhusu mafunzo yetu ya PHP.
OOP ni kifurushi Cha maneno Object Oriented Programming. Huu ni mtindo wa ku code kwa kukusanywa function zote zinazofanana kwenye ukurasa Moja unaoitwa class Ili kueepuka Hali ya kurudis rudia code katika program.
Ili kuelewa vyema ni Nini OOP Wacha kwanza nikufundishe kuhusu programming paradigms.
Je ni Nini programming paradigms?
Hizi ni staili ama mitindo ambayo hutumika na ma programmer katika uandishi wa program. Kila staili ila faida na hasara zake, ia Kila Moja Ina maeneo ambayo inafaa zaidi kutumiwa.
Kuna paradigms zisizopinguwa nne ambazo ni:-
Faida kubwa ya kutumia OOP ni kufanya code zako ziwe DRY yaani Don't Repeat Yourself.
OOP ilianza kwenye PHP toleo la 5. Ina maana kabla ya hapo PHP ilitumia procedural programming tu. Baada ya kuonekana umuhimu wa OOP kama ilivyokuwa ikitukiwa na language zinginezo wakati huo.
Faida za OOP
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza concept ya traits kwenye OOP. hii itakusaidia ku solve baadhi ya changamoto zinazotokana na inheritance
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku upload mafaili kwenye server kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza ukurasa wa kupost kwa kutumia html form
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu cronjob na matumizi yake kwenye PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza aina za data ambazo hutumika kwenye PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu aina za loop DO, FOR, FOREACH LOOPS kwenye PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunz akuchakata data zaidi kw akutumia ORM kama ku join table
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kufuta table ya databse kwa kutumia PHP. Pia utajifunza jinsi ya kututa database yeto
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza maana ya PHP na jinsi inavyofanya kazi
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kwenye database kwa kutumia PDO.
Soma Zaidi...