Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu server variables
SERVER VARIABLES
Hizi ni supperclobal variable ambazo zinaweza utumika popote kwenye file. Variable hizi zinatupa information kuhusu header, request, response na taarifa nyinginezo. Miongoni mwa variable hizi tayari tumekuwa tukizitumia mara kwa mara. So hapa tutazigaw akwenye makundi 6 ambayo ni:-
1. Client Information Variables:
Hizi zenyewe zinamuhusu client. So taarifa hizi zinatoka kwa client yaani browser yako wewe mtumiaji kwenda kwa server l uweza upata respond nayoendana na wewe. Variable hiszi ni kma
HTTP_AGENT hueleza uhusu ana ya browser
HTTP_ACCEPT hueleza ana ya maudhu yanayoubalwa
HTTP_ACCEPT_LANGUAGE hueleza lugha nayoubalwa
HTTP_ACCEPT_ENCODNG hueleza ana ya encoding nayotawa
HTTP_HOST hueleza jna la host
HTTP_REFFERER hueleza referring page yaan abla ya uja page hii ameanza page ipi.
HTTP_COOE hueleza cope znazopatikana kwenye header
HTTP_CONNECTON hueleza aina ya connection
2. Request Information Variables
Hizi zinatoa taarifa kuhusu request ilyofanya na client. Taarifa hizi ni kama:-
REQUEST_METHOD hii hutoa taarifa kuhusu method liliyotumika kama POST, GET, DELETE, OPTIONS
REQUEST_URI hii hueleza kuhusu link ambayo hiyo request imefanyika
REQUEST_STRING hii hueleza kama kuna string ambazo zilmetumika kwenye hiyo page mfano kama uluwa na box ya usert na hivyo mtumiaji aka serch kwaiyo hizo string alizotumia ku serach zinakwenda kwenye server pamoja na request.
REQUEST_TIME huonyesha n muda gan hyo request lfanya
REQUEST_TIME_FLOAT hueleza timestamp hyo request lfanya pamoja na unyesha microsecond.
3. Server Information Variables
Hizi hutumwa na server pamoja na response
SERVER_NAME huonyesha jina la hosting DNS ama IP address
SERVER_ADDR huonyesha AP address ya server
SERVER_PORT huonyesha post nayotumwa na serevr uwaslana na wewe
...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwendakujifunza concept ya namespaces na jinsi inavyosaidi kwenye OOP
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutumia filter_var() function kwa ajili ya kuchuja code zilizo hatari kwenye PHP file
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kufanya sanitization kwenye user input ili kuzuia sql injection kwenye database.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kwenye database kwa kutumia PDO.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu aina ya header inayoitwa Content-Disposition
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutuma email ambayo ina HTML, pia utajifunza kutuma email yenye picha na attachment nyinginezo kama pdf
Soma Zaidi...Hili ni somo la mwisho katika mfululizo huu wa ORM, kupata ujuzi zaidi endelea kusoma ORM nyinginezo ambazo nimetangulia kuzitaja awali ya masomo haya.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku upload mafaili kwenye server kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia database ya sqlite kwa kutumia PHP.
Soma Zaidi...katika post hii utajifunza jinsi ya kutengeneza ukurasa wa dashboard kwa ajili ya kutibti post
Soma Zaidi...