Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu while loop na do while loop zinavyofanya kazi katika Dart.
While loop hii hutumika endapo hujui kama code zako zinatakiw aku run mara ngapi. Yenyewe hii ni rahisi sana kutumia. Unachotakiwa kufanya ni kuweka sharti (condition) kisha zitafuata code.
While (condition){
Code
increment/ decrement
}
void main() {
print('ORODHA YA NAMBA');
var x = 1;
print(x);
while(x <12){
x++;
print(x);
}
}
Wach tuone jinsi ambavyo tutaweza kutengeneza tebo yetu ya 7 kwa kutumia while loop.
void main() {
print('TEBO YA 7');
var x = 0;
while(x <12){
x++;
print("${x}*7= ${x *7}");
}
}
Do while loop
Hii ni sawa na while loop ila utofauti wao ni kuwa do while loop yenyewe kwanza itanza na ku run code husika k">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu abstract class na abstract method kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza maana ya OOP na faida zake. Pia utakwenda kujifunza kuhusu features za OOP.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu operator kwenye Dart, kazi zake na jinsi ya kuzitumia.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu static property na jinsi ambavyo inavyotumika.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza Object pamoja na properties. Haa kwa ufupi tutakwenda kujifunza jinsi ya kutumia class.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujfunza kuhusu String method zinazotumika kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hii utakwenda kujifunza kuhusu concept mixin na jinsi inavyoweza kutumika kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika soo hili utakwenda kujifunza kuhusu reserved keywords katika Dart
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza method yhinginge zinazofanya kazi kwenye list data type kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda ujifunz akuhusu concept ya stream kwenye Dart. pia ttaona kwa namna gani strean inaweza kutofautiana na future wakati zote mbili zipo kwenye asychronous programming.
Soma Zaidi...