Jinsi ya kuchukuwa user input kwenye Dart kwa ajili ya kuongeza user interaction kwenye program.
User input ni nini?
User input ni kila ambacho mtumaji wa hiyo program atatakiwa kuwasilisha kwenye hiyo program mfano akiulizwa jina, akiulizwa namba na vinginevyo. Endapo atajaza hizo taaifa ndio zinaitwa user input. Kwa ufupi taarifa ambazo unahitaji mtumiaji wa program ajaze kwenye hiyo program ndio huitwa user input.
Katika Dart kabla ya kuhitaji user input utatakiwa ku import package inayoitwa io. Kufanya hivi tutaweka command hii import 'dart:io'; Mwanzoni mwa program yetu kabla ya main function. Baada ya hapo program yetu itakuwa na uwezo wa kupokea user input. Ili uweze kupokea user input tutatumia method hii stdin.readLineSync()
Wacha tuone mfano:
import 'dart:io';
void main(){
print("Andika jina kisha bofya Enter kwenye keyboard yako");
var name = stdin.readLineSync();
print("Jina lako ni ${name}");
}
Sasa kuna kitu nataka ujijuwe, ni kuwa user input zote ni string data type. Hivyo kama ukitaka kuweka data type kwenye kyrengeneza variable utaongeza alama ya ? kwenye string.String? name = stdin.readLineSync();
Sasa kama utahitaji kufanyia mahesabau user input kuna kazi ya ziada unatakiwa kuifanya. Wacha kwanza tuone mfano huu
Tunataka kutengeneza program ya kujuwa umri wa mtu. Program hii itahitaji mwaka aliozaliwa. Akishaweka mwaka aliozaliwa tutachuku">...
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili tutakwenda kujifunza zaidi kuhusu method za getter na setter. Tutakwenda kuona hasa zinavyotumika na zinavyotengenezwa.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu enum na inavyotumika kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuunganisha databse na Dart. Pia utajifunza jinsi ya kuset environment kwenye kompyuta ili kuweza kutumia Dart sdk kwenye CMD.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutawenda kujifunza kuhusu encapsulatio kwenye Dart OOP na jinsi inavyoweza kutumika.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu while loop na do while loop zinavyofanya kazi katika Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutatkwenda kuziona baadhi ya xyntax yaani kanunu za uandishi wa code za dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu concept ya polymorphism.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu method ambazo hutumika kwenye map data type
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza aina za data zinazotumika kwenye Dart.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu dart library. Pia tutakwend aktengeneza library yetu wennyewe kwa ajili ya kufanya mazoezi zaidi.
Soma Zaidi...