Jinsi ya kutengeneza cheti kwa kutumia HTML

Jinsi ya kutengeneza cheti kwa kutumia HTML

Katika post hii utakwenda kujifunz ajinsi ya kutengeneza cheti kwa kutumia html na css.

<style>

@page{
      size:A4 landscape;
      margin:10mm;
}

body{
    margin:0;
      padding:0;
      border:1mm solid #991B1B;
      height:188mm;
}

.border-pattern{
      position:absolute;
      left:4mm;
    top:-6mm;
    height:200mm;
    width:267mm;
    border:1mm solid #991B1B;
      /* http://www.heropatterns.com/ */
    background-color: #d6d6e4;
    background-image: url("data:image/svg+xml,%3Csvg width='16' height='16' viewBox='0 0 16 16' xmlns='http://www.w3.org/2000/svg'%3E%3Cpath d='M0 0h16v2h-6v6h6v8H8v-6H2v6H0V0zm4 4h2v2H4V4zm8 8h2v2h-2v-2zm-8 0h2v2H4v-2zm8-8h2v2h-2V4z' fill='%23991B1B' fill-opacity='1' fill-rule='evenodd'/%3E%3C/svg%3E");
}

.content{
      position:absolute;
      left:10mm;
      top:10mm;
    height:178mm;
    width:245mm;
    border:1mm solid #991B1B;
      background:white;
}

.inner-content{
    border:1mm solid #991B1B;
      margin:4mm;
      padding:10mm;
    height:148mm;
      text-align:center;
}

h1{
    text-transform:uppercase;
      font-size:48pt;
      margin-bottom:0;
}

h2{
      font-size:24pt;
      margin-top:0;
      padding-bottom:1mm;
      display:inline-block;
      border-bottom:1mm solid #991B1B;
}

h2::after{
    content:"";
      display:block;
      padding-bottom:4mm;
      border-bottom:1mm solid #991B1B;
}

h3{
      font-size:20pt;
    ...

Ingia sasa ili uweze kusoma makala hii yote.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: HTML Main: Utambuzi File: Download PDF Views: 2253

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 web hosting     👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉4 Bongolite - Game zone - Play free game     👉5 Kitabu cha Afya     👉6 ai web app    

Post zinazofanana:

Faida za Screen Protector

Screen Protector ni kifaa chembamba kinachowekwa juu ya skrini ya simu ili kuilinda dhidi ya mikwaruzo, mipasuko na uharibifu mwingine unaoweza kutokea wakati wa matumizi ya kila siku. Watu wengi hununua simu za gharama kubwa lakini husahau kulinda sehemu muhimu zaidi ya simu hiyo, ambayo ni skrini. Makala hii inaelezea kwa kina faida za Screen Protector, aina zake, jinsi ya kuchagua inayofaa, na sababu zinazofanya iwe uwekezaji muhimu kwa kila mwenye simu.

Soma Zaidi...
Jinsi ya Kusakinisha (Install) App kwa Usalama

Siku hizi simu za mkononi zimekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku. Tunazitumia kuwasiliana, kufanya biashara, kusoma, kulipa bili, kutazama video, kusikiliza muziki na hata kuhifadhi taarifa muhimu. Ili simu iweze kufanya kazi hizi, tunahitaji kusakinisha (install) programu mbalimbali zinazojulikana kama app. Lakini si kila app ni salama. Baadhi ya app zinaweza kuiba taarifa zako binafsi, kuharibu simu, kuonyesha matangazo mengi yasiyofaa au hata kusababisha akaunti zako kuporwa. Ndiyo maana ni muhimu kujifunza jinsi ya kusakinisha app kwa usalama. Katika makala hii utajifunza hatua zote muhimu za kusakinisha app kwa usalama, namna ya kutambua app halisi, mambo ya kuzingatia kabla na baada ya kusakinisha app, pamoja na makosa ambayo watu wengi hufanya bila kujua.

Soma Zaidi...
Jinsi ya Kutatua Tatizo la Mtandao wa Simu

Posti hii inatoa mwongozo rahisi na wa hatua kwa hatua kuhusu jinsi ya kurekebisha matatizo ya mtandao kwenye simu yako ya mkononi. Umejifunza njia za haraka kama kuwasha ‘Upepo’ (Flight Mode), kuwasha upya simu, na kuangalia kadi ya SIM ili kurudisha mawasiliano haraka bila kuhitaji fundi.

Soma Zaidi...
HTML - somo la 13: Jinsi ya kugawa ukurasa wa HTML

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kugawanya ukurasa wa HTML katika column

Soma Zaidi...
Jinsi ya Kuunganisha Simu na Wi-Fi

Wi-Fi ni njia rahisi inayowezesha simu kuunganishwa na intaneti bila kutumia bando la kawaida la simu. Kwa kutumia Wi-Fi, mtu anaweza kutumia intaneti kwa gharama ndogo au wakati mwingine bila gharama yoyote, hasa anapokuwa sehemu yenye mtandao wa Wi-Fi kama nyumbani, kazini, shuleni, hotelini au sehemu nyingine za umma. Kuunganisha simu na Wi-Fi ni jambo rahisi ambalo mtu yeyote anaweza kufanya hata kama hajawahi kutumia teknolojia sana. Unachohitaji ni simu yenye uwezo wa kutumia Wi-Fi, jina la mtandao wa Wi-Fi, na nenosiri kama mtandao huo umefungwa. Makala hii inaelezea hatua kwa hatua jinsi ya kuunganisha simu na Wi-Fi, mambo ya kuzingatia wakati wa kutumia Wi-Fi, sababu zinazoweza kufanya simu ishindwe kuunganishwa, pamoja na faida za kutumia mtandao wa Wi-Fi.

Soma Zaidi...