Ijue rangi za mkojo na maana zake katika mwili kuhsu afya yako

Posti hii inahusu zaidi rangi za mkojo na maana zake, hizi ni rangi ambazo uweza kutokea kwenye mkojo wa mtu mmoja na mwingine kwa sababu ya kuwepo kwa magonjwa, chakula,na mtindo wa maisha inawezekana unywaji wa maji au kutokunywa maji.

Rangi za mkojo na rangi zake.

1.rangi ya kwanza ni rangi ya majani makavu ya njano.ukiona rangi hii mtu anakuwa sawa kabisa ki afya  na mwili unakuwa na maji ya kutosha.

 

2. Mkojo kutokuwa na rangi au angavu.

Mkojo ukiwa hauna rangi maalumu ni ishara wazi kuwa unakumbwa maji mengi na unaweza kupunguza kwa kiasi fulani kwa hiyo mwi umejaa maji.

 

3. Rangi ya njano angavu.

 Hii ni rangi ya kawaida kwa mkojo inaonekana kubwa mtu anakunywa maji ya kawaida ila ni kubwa makini njano isije kuwa kubwa zaidi.

 

4. Njano iliyojaa na weusi.

Rangi hii inatoa taarifa kuwa Mgonjwa anapaswa kunywa maji kwa wingi na pia mtu akinywa maji mkojo kubadilika ni kwa mara moja tu 

 

5. Mkojo juwa na rangi ya asali.

Hali hii utokea kwa wale ambao hawana maji ya kutosha kwenye miili yao kwa hiyo wanapaswa kunywa maji ya kutosha ili walau hii rangi ibadilike na kuwa ya mkojo wa kawaida.

 

6. Rangi ya mkojo kubwa kahawia iliyokaza weusi.

 Ukiona rangi hii ya mkojo uenda ukawa na matatizo ya ini ni vizuri na lazima kwenda kwenye vipimo ili kuweza kuangalia tatizo ni lipi kwa mtoto.

 

7. Rangi ya waridi na yenye wekundu.

Kwa mara nyingine mkojo unakuwa na rangi ya waridi na yenye wekundu inabidi kuangalia kama mtu amekula matunda au vyakula vyenye rangi karibuni kama hapana inawezekana kuna damu kwenye mkojo.



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/03/08/Tuesday - 12:44:35 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 622


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-