Post hii inahusu zaidi Ute ambao umo kwenye uke, Ute huu utofautiana kulingana na hali ya mama aliyonayo, kama mama ana mimba uke utakuwa tofauti na yule ambaye hana mimba au kama Ute una una magonjwa na hivyo utakuwa tofauti.
1. Kama tulivyoona hapo juu kwamba Ute utofautiana kulingana na hali ya mama au na kuwepo kwa magonjwa mwilini kwa Mama na pia kuna kipindi Ute uongezeka na kuna kipindi Ute upungua kabisa na pengine uke inakosa kabisaa mpaka madawa yanatumika kupata uke.
2. Kwa hiyo Ute kwenye uke huwa na kazi tofautitofauti kwa mfano kurahisisha uje wakati wa kujamiiana na kuruhusu mbegu kupita wakati wa kujamiiana kwa hiyo kwa akina mama ambao bado wanaendelea kupata watoto ni vizuri kabisa kuhakikisha kubwa wanakuwa na Ute wa kutosha kwenye uke kwa kutumia dawa mbalimbali za kuweza kupata Ute hasa pale ukipungua.
3. Ukosefu wa Ute kwenye uke usababisha maumivu makali wakati wa kujamiiana na pia michubuko wakati wa kujamiiana kwa sababu uume unapopita upita kwa shida na kusababisha kukwaruza sehemu za uke,
4. Pia ukosefu wa Ute usababisha kuwepo kwa magonjwa ya kuambukiza yanayotokea kwa njia ya kujamiiana kama vile upungufu wa kinga mwilini pamoja na magonjwa mengine kama hayo kwa sababu wakati wa kujamiiana kwa sababu ya kuwepo kwa michubuko virusi vinaweza kutoka kwa mwathirika kwenda kwa mwingine asiye mwathirika kwa hiyo Ute una faida zake.
5. Pia wanaume wanapaswa kuwaandaa wanawake wao kabla ya kujamiiana ili kuweza kuwepo kwa Ute maana maandalizi mazuri usababisha Ute kuwepo wa kutosha kwa hiyo ni vizuri kutafuta njia nzuri za kuandamana ili kuweza kuepuka matatizo ya kuwepo kwa magonjwa na michubuko wakati wa kujamiiana.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Post hii inahusu zaidi sababu za ugumba kwa Mwanaume, ni sababu ambazo umfanye mwanaume ashindwe kumpatia mwanamke mimba.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi kuhusu kwa mimba kutoka kabla ya mda wake,ni kitendo ambacho mimba utoka kabla ya wiki ishilini na na nane.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za kujaa tmgesi tumbon
Soma Zaidi...Hutokea uchungu wa kujifunguwa ukakati. Unadhani ni kitugani kinatokea.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi imani potofu kuhusu uzazi wa mpango, ni imani walizonazo Watu kuhusu matumizi ya uzazi wa mpango.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu za kukosa hedhi wakati mda wa kuona hedhi umefika ni tatizo linalowasumbua baadhi ya wasichana wachache katika jamii na hii ni kwa sababu zifuatazo.
Soma Zaidi...inaweza kutokea kuwa mtoto aliye tumboni akaishiwa maji hata kabla ya kuzaliwa. yes hali hii huweza kuwapata baadhiya watoto.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo chini upande wa kulia
Soma Zaidi...