image

HTML - somo la 15: Jinsi ya kutengeneza website kwa kutumia HTML

Katika somo hili tutakwenda kutengeneza website yetu kutoka mwanzo hadi mwisho

PROJECT YETU YA MWISHO KULINGANA NA COURSE:
Huu ni ukurasa wa mbele wa tovuti (landing page) ndio ukurasa mkuu. Ukurasa huu umegawanyika katika sehemu kuu nne. Ukurasa huu umedizaidiwa kulingana na mafunzo ambayo yamefundishwa. Ni matarajio yetu katika muendelezo wa mafunzo haya ukurasa huu utaboreshwa zaidi. Sasa hebu tuone ukurasa huu:-

 

1.Sehemu ya kwanza ni <head> hapa ndipo amabapi metadata zipi. Kuna jina la mwandishi, na muhutasari, na pia kuna title ya kurasa. Character set iliyotumika ni 8.
<head>
<meta charset="utf-8">
<meta name="viewport" content="width=device-width, initial-scale=1, shrink-to-fit=no">
<meta name="author" content="Rajabu">
<meta name="description" content="Mafunzo ya HTML, FULL COURES FOR BEGINNERS">
<title>Home Page</title>
</head>

 

2.Sehemu ya pili ni <header> hapa ndipo ambazo kuna menu. Menu imetengenezwa kwa batani pamoja na hypertext reference kwa ajili ya kuwekea link za kwenye menu. Background color ya menu ni black. Pia ukubwa wa batani ji x-large kwa maana batani zimekuzwa ukubwa.

<style>
menu {background-color: black;}
a {color: blue;
 text-decoration: none;
 }
 button {font-size: x-large;}
 .left {float: left; }
 .middle {float: left;}
 .right {float: right;}
 .button {background-color: green;}
 div {color: black; width: 33.32%;}
 @media screen and (max-width: 600px) {
    div {width: 100%;}
}
</style>
<header>
 <menu>
        <button><a href="#">COURSES</a></button>
        <button><a href="#">EXAMS</a></button>
        <button><a href="#">PROJECTS</a></button>
        <button><a href="#">BLOG</a></button>
        <button><a href="#">CONTACTS</a></button>
 </menu>
</header>


3.Sehemu ya tatu ni section <div> hii imegawanyika katika row tatu. Kila row imezungushiwa na batani. Rangi ya batani ni ya kijani.ukubwa wa kila row ni 33.32%. rangi ya maandishi ni nyeusi. Style iliyotumika ni ya nje na ndani. Row hizi 3 zitavunjika na kila moja kukaa kivyake endapo ukurasa utafunguliwa kwenye simu. Hivyo kila row itakuwa na upana wa 100%. hii imefanya na @media screen and (max-width: 600px) {
div {width: 100%;}
<div class="left">
 <button class="button"><h1>ABOUT US</h1>Sisi ni grupu la Fb tunaotoa mafunzo bure juu ya kutengeneza blog na website pamoja na Android App.</button>
</div>
<div class="middle">
 <button class="button"><h1>WHO WE ARE</h1>Sisi ni kundi linalotoa elimu ya Teknolojia bure. Tunafanya hivi kwa kushirikiana na wadau wengine</button>
</div>
<div class="right">
 <button class="button"><h1>WHAT WE DO</h1>Tunafundisha jinsi ya kutengeneza Website, Blog na Android App. Tunafanya haya bila ya kudai malipo yoyote yale</button>
</div>

 

4.Sehemu ya mwisho ni section <main> hii imekusanya maelezo ya kuhusu tovuti hii. Section hii itakuja chini ya section iliyopita. Mpangilio wa text ni center. Style zaidi zilizotumika imechukuwa style ya paragraph zilizotumika huko juu
<main>
 <h1 style="text-align: center;">KUHUSU SISI</h1>
 <p style="text-align: justify;">Sisi ni wadau wa teknolojia. Tumejitolea kufundishana na kufahamishana zaidi katika teknolojia hususani katika lugha za kikompyuta. Project hii ni project ya pili katika course yetu ya HTML level ya pili. Tunatarajia katika level ya tatu kuboresha project hii kuwa nzuri zaidi. Unaweza kuangalia project yetu ya kwanza kwenye link ya project hapo juu<br><br>

 

Ni matarajio yetu kuwa project hizi ni mja ya njia za kuonjesha maendeleo yetu katika kujifunza. Hatuta ishia hapa. Malengo yetu ni kujuwa zaidi namna ya kutumia lugha za kikompyuta kuweza kufanya mengi. Lengo letu ni kusaidia jamii katika haya tutakayoyasoma. Tunatarajia kutengeneza project ambazo zina malengo ya Kusaidia jamii kwa ujumla. <br><br>
Tafadhali kama na wewe ni mdau wa teknolojia tunaomba usaidie katika kutuunga mkono kwa mawazo na kifedha kama utakuwa na wasaa.<br>
</p>
<br><br><h1 style="text-align: center; font-size: 100%;">Welcome All</h1><br><br><br>
</main>

5.Section <footer> hii ndio sehemu ya mwisho ya ukurasa huu. Sehemu hii ipo ndani ya <footer>  zaidi sehemu hii imeonyesha nyia za kuwasiliana nasi.background ">...



Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: HTML Main: Project File: Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 714


Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitau cha Fiqh     👉5 Simulizi za Hadithi Audio     👉6 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

HTML - somo la 16: Jinsi ya ku host website bure
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku host website yako bila malipo Soma Zaidi...

HTML - somo la 8: Mgawanyiko wa Tag za HTML na kazi zake
Katika somo hili tunakwenda kugawanya tag za HTML, pia nitakwenda kukuletea tag 70 za HTML Soma Zaidi...

HTML-somo la 5: Jinsi ya kupangilia munekano wa maudhui kwenye website
Katika somo hili utajifunza Kuweka picha Kuweka rangi Kuweka linki Kupangilia position na alignment ya maandishi Kuongeza ukubwa wa herufi Kukoment Soma Zaidi...

HTML - somo la 11: Jinsi ya kuweka style mbalimbali kwenye html
Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuweka style mbalimbali kwenye ukurasa wa html Soma Zaidi...

HTML - somo la 15: Jinsi ya kutengeneza website kwa kutumia HTML
Katika somo hili tutakwenda kutengeneza website yetu kutoka mwanzo hadi mwisho Soma Zaidi...

HTML - somo la 9: Jinsi ya kutumia tag za HTML katika uandishi wa maudhui
Katika somo hili utakwenda kuona jinsi ya kuzitumia tag balimbali za html Soma Zaidi...

HTML - somo la 14: Hatua za kutengeneza website
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza website hatuwa kwa hatuwa Soma Zaidi...

HTML - somo la 6: Jinsi ya kuweka menyu kwenye faili la HTML
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuweka menyu kwenye faili la html na kuweka rangi ya background. Pia utajifunza kufanya ukurasa uwe responsive yaani uendani na ukubwa wa kifaa. Soma Zaidi...

haloo word
all haloo Soma Zaidi...

HTML - somo la 12: Sehemu kuu za faili la HTML
Katika somo hili utajifunza kuhusu sehemu kuu za faili la HTML Soma Zaidi...

HTML - somo la 7: Vitu vya kuzingatia unapoandika HTML
Katika somo hili utajifunza sehemu muhimu katika faili la HTML kama vile tag, attribute na element Soma Zaidi...

HTML - somo la 3: Tags za HTML zinazotumiwa katika uandishi
Katika somo hili nitakuletea orodhabya tag 25 za html ambazo hugumiwa katikabuandishi. Soma Zaidi...