Posti hii inahusu zaidi kazi ya homoni ya HCG katika kupima mimba, HCG maana yake ni human chorionic gonadotropin ni homoni ambayo uonekanekana kwenye mkojo na damu kama mtu ana mimba.
Kazi ya homoni ya HCG wakati wa kupima mimba.
1.Human Chorionic Gonadotropin (HCG) ni mojawapo ya homoni ambayo usaida kutambua kama kuna mimba kwa Mama au msichana yeyote mwenye uwezo wa kubeba mimba, homoni hii uonekane kwenye mkojo na kwenye damu kwa siku tofauti tofauti.
2. Pindi mwanamke anapobeba mimba hiyo homoni uwapo kwenye mkojo baada ya siku ya kumi na nne mimba inaweza kuonekana kwa hiyo hili kuweza kuiona mimba hii mkojo upelekwa kwenye kipimo na Mimba uweza kuonekana kwa kuwepo kwa human chorionic gonadotropin homoni kwenye mkojo, kwa hiyo kwenye mkojo panapaswa kutokuwepo na Maambukizi yoyote na protini inapaswa kutokuwepo kwa sababu kama kuna protini unaweza kusema kuna mimba kumbe hamna.
3.Na vile vile kwenye damu hii homoni ya human chorionic gonadotropin ipi ambapo inaweza kuonekana baada ya siku tisa mpaka kumi kama mtu ana mimba kwa hiyo na kwenye damu panapaswa kutokuwepo na Maambukizi yoyote kwa sababu yanaweza kufanya mimba isionekane au kuonekana kama imo huku Haimo.
4.Kwa hiyo kitu cha kujua wakati wa kupima mimba kwa kutumia mkojo au damu ili kuangalia human chorionic gonadotropin mtu anapaswa kutibu Magonjwa ambayo yanaleta maambukizi matokeo ya kuona mimba yskarenganishwa
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inaelezea kiufupi kabisa kuhusiana na Dalili za hatari kwa mama aliyejifungua.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi homoni ya androgen, ni homoni ambayo imo kwa wanaume na ikizidi kwa kiwango chake inaweza kuleta shida kwenye mwili wa binadamu kwa hiyo homoni hii inaweza kuleta shida iwapo ikiongezeka kwa kiasi kikubwa.
Soma Zaidi...Utajifunza sababu za kuweo kwa maumivu ya uume wbaada ya tendo la ndoa na wakati wa tendo la ndoa.
Soma Zaidi...Ni mida gani njamzito ananza kuhisi kuwa tumboni anebeba mtoto.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mabadiliko ya uzito kwa mjamzito, hii ni hali ya kubadilika kwa uzito kwa Mama akiwa na Mimba
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi Madara ya kutomsaidia mama anayetokwa na damu nyingi baada ya kujifungua.
Soma Zaidi... Posti hii inazungumzia kuhusiana na kuvimba kwa ovari kunakosababishwa na maambukizo ya bakteria na kawaida huweza kusababishwa na magonjwa sugu katika Maambukizi ya mfumo wa Uzazi wa mwanamke.
Soma Zaidi...Kutoka na majimaji ka uchache kwa mwanamke sio jambo lakishangaa sana. Damu hii inawezapiabkikbatana damu na maumivu makali.
Soma Zaidi...