Kumsaidia mtu aliyeingiwa na uchafu au kitu chochote machoni
Posti hii inahusu hasa jinsi uchafu, wadudu na vitu vingine vinavyoweza kuingia machoni.macho ni mojawapo ya milango mitano ya fahamu ambapo kazi yake ni kuona.
Vitu vinavyoweza kuingia machoni ni pamoja na
1.wadudu
2.kemikali
3.gasi
4. Vumbi
5.vitu vyenye ncha kali kuingia jichoni
Dalili zinazoweza kujitokeza iwapo mtu akiingiwa na kitu jichoni
1. Macho kuuma
2. Macho kutoa machozi
3. Macho kuwasha
4. Macho kuwa mekundu
5. Macho kushindwa kufunguka
Tufanyeje Ili tuweze kuepuka vitu na uchafu kuingia machoni?
1. Tusafishe macho kila mara Ili kuondoa uchafu kama umeingia
2. Kuepuka kucheza kwenye gesi hasa kwa watoto bila sababu
3.tuwe na tahadhari kubwa pale tunapotumia kemikali
4. Kwa wale wanaochomelea wavae miuani Yao Ili kuepuka takataka na uchafu kuingia machoni.
Angalisho
_ kama Kuna kitu chochote kimechoma kwenye jicho na kinaonekana hurusiwi kukitoa mpaka hospitalini ndo wakitoe kwa sababu hujui kimeshikilia wapi inaweza kukitoa ukasababisha matatizo mengine makubwa.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
๐1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) ๐2 web hosting ๐3 Bongolite - Game zone - Play free game ๐4 Kitau cha Fiqh ๐5 kitabu cha Simulizi ๐6 Simulizi za Hadithi Audio
Post zinazofanana:
Nini husababisha mdomo kuwa mchungu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za mdomo kuwa mchungu
Soma Zaidi...Kazi za vitamin B na makundi yake
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu kazi za vitamin B na makundi take
Soma Zaidi...Upungufu wa vitamin
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu wa vitamin
Soma Zaidi...HUDUMA YA KWANZA KWA ALIYENGโATWA NA NYUKI
Kungโatwa na nyuki kunaweza kukahitaji huduma ya kwanza kwa haraka kama mgonjwa ana aleji na nyuki.
Soma Zaidi...Huduma kwa watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi
Posti hii inahusu zaidi huduma ambazo wagonjwa wanaoishi na maambukizi ya virus vya ukimwi wanaweza kupata, huduma hii utolewa hasa kwa wale ambao wamejitokeza kupima afya zao na kujua wazi hali zao na kwa wale wanaofatilia huduma hii wanaweza kuishi vizu
Soma Zaidi...Njia za kuongeza nguvu za kiume
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya njia za kuongeza nguvu za kiume
Soma Zaidi...