Posti hii inahusu njia mbalimbali ambazo utumika kupitisha chanjo, njia hizo utegemea na kazi ya chanjo kama ifuatavyo.
Njia zinazotumika kupitishia Chanjo.
1.Tunajua wazi kuwa chanjo lazima zipitishwe sehemu husikika kutokana na kazi maalumu kwa hiyo wahudumu wa afya wanapaswa kujua kwa kina kabisa njia ambapo chanjo inapaswa kupitia nyingine kwenye nyama ya mwili nyingine kwenye kinywa, nyingine kwenye ngozi nyingine kwenye sehemu ya juu ya ngozi.
2.Chanjo zinazopita kwenye kinywa.
Hizi ni chanjo mbili ambayo ni Chanjo ya polio na chanjo inayozuia kuharisha kwa kitaalamu huitwa Rotarix hizi chanjo kwa wakati mwingine zinahitaji kudilutiwa kwa hiyo Poda yake na maji ya kuchanganya yanapaswa kutoka kwenye kiwanda kimoja kwa hiyo utolewa kwa njia ya matone kwa hiyo wataalamu wa afya wanapaswa kuzingatia masharti kwenye kutoa chanjo hii.
3.Njia nyingine ya kupitisha chanjo ni kwenye ngozi kwa kitaalamu huitwa intradermal, chanjo ambayo upitishwa kwenye sehemu hii ni chanjo inayotibu kifua kikuu chanjo hiyo kwa kitaalamu huitwa BCG ni chanjo ambayo utolewa baada ya mtoto kuzaliwa na mpaka pawepo na alama sehemu iliyotolewa.
4.Njia ya kwenye nyama ya ndani yaan kwenye nyuzi tisini, hii nayo ni mojawapo ya njia ya kupitisha chanjo ambayo kwa kitaalamu huitwa intramuscular, chanjo uingizwa chini kabisa kwenye nyama, kwa hiyo chanjo zitolewazo kwa njia hiyo ni chanjo ya pepopunda, homa ya ini, Dondakoo na chanjo za kuzuia njia ya upumuaji.
5.Njia ya nyama ya juu, hizi njia kwa kitaalamu huitwa subcutaneous, chanjo ambazo utumia njia hizi ni chanjo ya Surua kwa kitaalamu huitwa MR maana yake ni chanjo ya Rubella na Measles ambazo uzuia kuharisha.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu mambo yanayosaidia kuboresha afya
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa tatizo na kuishiwa damu, kuishiwa damu ni tatizo linolowakumba watu wengi na kusababisha matatizo mengi
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya madini mwilini
Soma Zaidi...Unapokuwa na kizunguzungu unashindwa kuudhibiti mwili wako, unaweza kuanguka kabisa.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na Mambo yanayoweza kuadhiri Uponyaji wa jeraha.jeraha huleta maumivu makali sana, vilevile Uvimbe, kutoa usaha. Pia jeraha hutofautiana katika kupona kwa mtu mzima na Mtoto.
Soma Zaidi...hatari matokeo ya kunywa kiasi kikubwa cha pombe kwa muda mfupi. Kunywa pombe haraka kupita kiasi kunaweza kuathiri kupumua kwako, mapigo ya moyo, halijoto ya mwili na kunaweza kusababisha Coma na kifo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu wa maji mwilini
Soma Zaidi...Hata kama mtu atakuambbia usile vyakula yenye mafuta bado itahitajika kula tu. Kuna mafuta na fati je unajuwa utofauti wao. Ni zipi kazi zao mwilini? Endelea na makala hii
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na shambulio la moyo
Soma Zaidi...