Posti hii inahusu zaidi watu ambao hawapaswi kupewa chanjo, hawa ni wale ambao wana hali tofauti na ikitokea wakapata chanjo wanaweza kupata madhara badala ya kuwasaidia.
Ambao hawapaswi kupewa chanjo.
1.Kwanza kabisa chanjo ni kitendo cha kuweka wadudu wanaosababisha ugonjwa ili kuweza kuingiza kinga kwenye mwili, wadudu hawa wanakuwa wamedhoofishwa kitaalamu na hawawezi kuleta madhara yoyote kwa hiyo hawa wadudu usaidia kuleta kinga kwenye mwili, pamoja na hayo kuna wale ambao hawapaswi kupata chanjo ni kama wafuatao.
2.Wenye mzio na hizo chanjo au aleji na chanjo
Hawa ni wale endapo wamepata chanjo kwa mara ya kwanza uweza kubwa na aleji kwa mfano uweza kuvimba, kuwashwa, kutapika , kuharisha lakini hayo yote yanapaswa kutokea mda mfupi anapopata chanjo hapo ndo tunaweza kujua kubwa ni kwa sababu ya chanjo, ikitokea wazi kuwa chanzo ni chanjo huyo mtu hapaswi kutumia.
3.Wale ambao wanaumwa.
Chanjo haipaswi kutolewa kwa mgonjwa yoyote kwa sababu kama tulivyotangulia kusema kubwa chanjo inatengenezwa na wadudu wanaosababisha ugonjwa kama mtu anaumwa hapaswi kuchanjwa kwa hiyo kama mtu ni mgonjwa anatakiwa apone kwanza ndipo achanjwe kwa hiyo watu wote wanapaswa kujua utaratibu huu.
4.Wale wenye kinga ya mwili kama iko chini.
Kama kinga ya mwili Iko chini hawapaswi kuchanjwa kwa hiyo kitu cha kwanza ni kuanza kupandisha hiyo kinga ya mwili na baadae kuchanja kwa hiyo tunapaswa kuwapatia vyakula vya kutosha kwa hiyo kinga ya mwili ikipanda chanjo inaweza kuendelea kama kawaida.
5.Kwa hiyo tunapaswa kujua hizo sheria za kuchanjwa ili kuweza kupunguza matatizo kwa hiyo ukija kupata chanjo yoyote inabidi kupima ugonjwa huo unaopaswa kutolea chanjo na hatimaye uchanjwa kwa hiyo chanjo ni ya muhimu sana na ina faida sana kwenye mwili kwa hiyo ikitokea chanjo yoyote chanjo kwa sababu ina faida.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukuletea mambo ambayo hayawezi kuambukiza UKIMWI
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu wa protini
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu anayetokwa na damu ya pua
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa kipindupindu ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria kwa kitaalamu huitwa vibrio cholera.
Soma Zaidi...Kama unahitaji kujuwa namna ya kuweza kujikinga na vidonda vya tumbo, basi makala hii ni kwa ajili yako. Hapa utaweza kuzijuwa hatuwa zote za kujikinga na kupata vidonda vya tumbo.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi mabadiliko katika umri wa kubarehe kwa wsichana, ni kipindi ambacho watoto huelekea ujana, utokea Kati ya miaka kuanzia Kumi na kuendelea.
Soma Zaidi...Unadhanivkufanya kazi kunaweza kukusababishia maradhi ama mwili kudhoofu, ama kukonda. Umeshawahivkujiuliza wanao nenepa huwa hawafanyi kazi?
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi Imani potofu juu ya chanjo kwa watoto na akina Mama, ni baadhi ya Imani waliyonayo watu juu ya chanjo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia wagonjwa waliopata maambukizi kwenye milija na ovari, ni wagonjwa waliopata maambukizi kwenye milija na ovari.
Soma Zaidi...