Posti hii inahusu zaidi namna ya kuchoma chanjo, ni njia ambazo utumika kutoa chanjo kwa watoto na watu wazima kwa utaratibu uliowekwa.
Namna ya kuchoma chanjo.
1.Kwanza kabisa unapaswa kumsalimia mteja na kujitambulisha kwake na yeye kujitambulisha kwake na pia unapaswa kutoa elimu kuhusu chanjo unavyoenda kutoa chanjo.
2.Baada ya hapo unapaswa kuandaa vifaa vya kumchoma mteja chanjo kama vile chanjo yenyewe na hakikisha kama imepita mda wake, andaa bomba la kuchoma chanjo, tray ya kuwekea vifaa na mahitaji yote yanayohitajika.
3.Kuandaa sehemu kwa ajili ya mgonjwa, na pima dawa kwa kadiri ya hitaji na kama kuna chanjo mbili yaani ya matone na sindano unapaswa kuanza na matone na baadae unamalizia na sindano kwa kufanya hivyo inaepuka usumbufu kutoka kwa mtoto.
4.Baada ya kumchoma mtoto chanjo unatupa bomba kwenye box maalum na pia unamshukuru Mteja kwa ushirikiano aliouonyesha na ujamwambia tarehe ya kurudi kama hajamaliza chanjo.
5.Unampatia mteja nafasi ya kuuliza maswali , hakikisha unatoa majibu sahihi kama hauna majibu sahihi usijibu swali unaweza kuuliza kwa wahudumu wengine na kuhakikisha kubwa mteja ameondoka na jibu sahihi.
6.Unarudisha vifaa kwenye sehemu yake.
Na wakati wa kurudisha vifaa hakikisha kuwa temperature ya kwenye box la kutunzia chanjo iko sahihi yaani kuanzia 2 mpaka nane kama zinakuwa kati ya hizo hiyo ni sahihi kama ni juu yake au pungufu hali hiyo si sahihi kwa hiyo tunapaswa kufanya utaratibu unaofaa.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kukabiliana na presha ya kushuka
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na Mambo mbalimbali ambayo husababisha kizunguzungu.
Soma Zaidi...Posti huu inahusu zaidi visababishi mbalimbali vya magonjwa, tunajua wazi kuwa ugonjwa ni hali ya kutokuwa kawaida kwa ogani mbalimbali kwenye mwili na kusababisha mwili kushindwa kufanya kazi zake vizuri.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sehemu ambazo zinapaswa kudungwa chanjo, hizi ni sehemu zile zilizopendekezwa kwa ajili ya kuchoma chanjo kwa kadiri ya kazi ya chanjo.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi jinsi moyo unavyosukuma damu, moyo ni ogani ambayo usukuma damu kwenye sehemu mbalimbali za mwili.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa wazee
Soma Zaidi...Posti hii inahusu njia za kumlisha Mgonjwa ambaye hawezi kujilisha wenyewe, hali hii uwa inawapata wagonjwa wale ambao hawawezi kujilisha wenyewe tunaweza kuwalisha kwa njia zifuatazo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi Aina mbalimbali za vidonda kwenye mwili wa binadamu, ni vidonda ambavyo utokea kwenye mwili wa binadamu kwa Aina tofauti.
Soma Zaidi...