Uzazi wa mpango kwa njia ya kumwaga manii nje.
Posti hii inahusu zaidi uzazi wa mpango kwa njia ya kumwaga shahawa nje, hii ni njia mojawapo kati ya njia za uzazi wa mpango ambapo mwanaume humwaga nje mbegu ili asimpatie Mama mimba.
Uzazi wa mpango kwa kumwaga shahawa nje.
1.Tunajua wazi kuwa uzazi wa mpango ni hali ya wanafamilia kupanga namba ya watoto wanaowahitaji na kuwapatia distansi kutoka kwa mtoto mmoja kwenda kwa mwingine, kwa hiyo na kumwaga shahawa ni aina mojawapo ya uzazi wa mpango, kwa hiyo tutaona jinsi au Namna njia hii inayotumika.
2.Kumwaga nje manii. Kunahitajika ushirikiano mkubwa kati ya mwanaume na mwanamke kwa sababu wakiwa kwenye tendo mwanaume huisi mbegu zinakuja uchomoa uume kutoka kwenye uke wa mama na kumwaga chini na kuendelea na shughuli zao,
3. Hii njia ni nzuri inapotumika kwa wapenzi na kwa uaminifu uweza kuzuia kuwepo kwa mimba kwa hiyo baba na Mama wanapaswa kuwa makini ili kusiwepo kwa mimba zisizotarajiwa.
4.Pamoja na hayo hii njia haiwezi kuzuia magonjwahiyo yayzinaa na ukimwi kwa hiyo ni lazima wapenzi kupima mara nying i kuwakinga wajawazito dhidi ya magonjwa
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 Simulizi za Hadithi Audio 👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉5 ai web app 👉6 Kitau cha Fiqh
Post zinazofanana:
Changamoto kubwa za tendo la ndoa kwa wanaume
Posti hii inahusu zaidi changamoto ya tendo la ndoa kwa wanaume,wanaume wamekuwa wakipata changamoto ya tendo la ndoa na kuwafanya kushindwa kujiamini na kukosa kabisa raha kwenye maisha yao
Soma Zaidi...Namna ya kumtunza mtoto aliyezaliwa
Post hii inahusu zaidi namna ya kumtunza mtoto mchanga aliyezaliwa, ni njia zitoleeazo na wakunga Ili kumtunza mtoto mchanga aliyezaliwa.
Soma Zaidi...Faida na hasara za kutumia uzazi wa mpango
Tunaposema uzazi wa mpango, tunamaanisha ile hali ya kuachanisha muda kutoka mtoto hadi mwingine. Inatakiwa angalau mtoto na mtoto wapishane miaka miwili. Uzazi wa mpango ni maamuzi kati ya mama na baba.
Soma Zaidi...Watu ambao hawapaswi kutumia njia za uzazi wa mpango
Post hii inahusu zaidi watu ambao hawapaswi kutumia njia za uzazi wa mpango, Ni watu ambao Wana matatizo mbalimbali endapo wakitumia wanaoweza kuleta madhara mbalimbali.
Soma Zaidi...Kutokwa maji yan seminal swhemu za siri kwa mwanamke nidalili ya ugojwa gan?
Kutokwa Majimaji sehemu za siri kwa mwanamke sio jambo la kushangaza na kuhisivunaumwa. Majimajivhaya ndio huboresha afya ya uzazi kwa kusafisha na kulinda via vya uzazi. Lakini majimajivhaya yakiwa mengi, ama yanawasha ama yanaharufu haa ndipo kwenye tat
Soma Zaidi...Maumivu ya mgongo kwa wajawazito: Chanzo chake.
Maumivu ya mgongo ni mojawapo ya changamoto za kawaida zinazowakumba wanawake wengi wakati wa ujauzito. Ingawa mara nyingi ni hali ya kawaida inayotokana na mabadiliko ya mwili, inaweza kuleta usumbufu mkubwa katika maisha ya kila siku. Makala hii inaangazia vyanzo vya maumivu haya na jinsi unavyoweza kuyapunguza ili kupata kipindi cha ujauzito kilicho na utulivu.
Soma Zaidi...