Sunnah za funga ya ramadhan

Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

  1. Kula na kuchelewesha daku kukaribia Alfajir ya kweli.

Rejea Qur’an (2:187).

  1. Kufuturu mapema mara tu baada ya Jua kuzama.
  2. Kuzidisha ukarimu zaidi wakati wa funga ya mwezi wa Ramadhani.
  3. Kuzidisha kuisoma Qur’an zaidi mwezi wa Ramadhani kama mwongozo wa maisha.

Rejea Qur’an (2:185) na (25:73).

  1. Kusimamisha swala ya Tarawehe mwezi mzima wa Ramadhani.
  2. Kuutafuta usiku wa Lailatul-Qadri kwa kukaa itikaf kumi la mwisho wa funga Ramadhani.

Rejea Qur’an (97:1) na (44:3).

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Fiqh Main: Dini File: Download PDF Views 1680

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya    👉2 web hosting    👉3 Madrasa kiganjani    👉4 Simulizi za Hadithi Audio    👉5 kitabu cha Simulizi    👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina   

Post zinazofanana: