Posti hii inahusu zaidi Maambukizi kwenye mifupa ambayo kwa kitaalamu huitwa Osteomyelitis, ugonjwa huu uaribu zaidi kwenye mifupa na sehemu nyingine ambazo zinakaribia kwenye mifupa
Sababu za Maambukizi na walio katika hatari ya kupata Maambukizi kwenye mifupa.
1.Bakteri.
Maambukizi kwenye mifupa usababishwa na bakteria, hali hii utokea pale bakteria wanaposhambulia mifupa na kusababisha madhara makubwa kwenye sherehe zinazokaribia na mifupa, bakteria ambao usababisha maambukizi kwa kitaalamu huitwa staphylococcus Aureus na B streptococcus.
2.Maambukizi kwenye sehemu za upumuaji , ndani ya sikio, kwenye tonsili na Maambukizi yanayotokana na kuungua hayo yote ni chanzo cha Maambukizi kwenye mifupa.
3.Pia kuna watu walio kwenye hatari ya kupata Maambukizi kwenye mifupa, ni pamoja na wale wenye vitu vyovyote kwenye mifupa kama vile mti, vyuma na mambo kama hayo usababisha maambukizi kwenye mifupa.
4.Kuwepo kwa kuvunjiko kwenye mifupa.
Kwa wakati mwingine kama mtu amevunjika na kuna uchafu na usafi haufanyiki ipasayo anaweza kupata Maambukizi kwenye mifupa, kwa hiyo kwa wale wenye ajali wanapaswa kusafisha vizuri sehemu zilizo na majeraha
5.Watu wenye kinga ya mwili ndogo
Tunajua wazi kuwa kama kinga ya mwili ni ndogo mwilini ni rahisi kushambuliwa na magonjwa kwa hiyo tunapaswa kujikinga na Magonjwa mbalimbali na kula vyakula vyenye uwezo wa kuongea kinga mwilini.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Kichaa cha mbwa ni virusi hatari vinavyoenezwa kwa watu kutoka kwa mate ya wanyama walioambukizwa. Virusi vya kichaa cha mbwa kawaida hupitishwa kwa kuuma.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalili za Kufunga kwa ulimi (Tongue-tie) kuanzia Mtoto anavyo zalia mpaka navyokua ni hali inayotokea wakati wa kuzaliwa ambayo kitaalamu hujulikana kama ankyloglossia.
Soma Zaidi...hapa utajifunza maradhi mbalimbali yanatopelekea kuwepo kwa maumivu ya tumbo
Soma Zaidi...Posti hii inahusu Maambukizi kwenye tumbo na kwenye utumbo mdogo,ni Maambukizi ambayo uwa kwenye tumbo na utumbo mdogo.
Soma Zaidi...Utapiamlo Mkali sana (Marasmus) hufafanuliwa kama aina kali ya utapiamlo ambayo ina sifa ya kupoteza. Utapiamlo uliokithiri umeainishwa katika Utapiamlo Mkali sana (SAM) na Utapiamlo Uliokithiri wa Wastani (MAM), kulingana na kiwango cha kupoteza na kuw
Soma Zaidi...Jipu la jino ni mfuko wa usaha unaosababishwa na maambukizi ya bakteria.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi maambukizi kwenye uume, maambukizi hata utokea kwenye kichwa Cha uume kwa kitaalamu huitwa Balanitis, zifuatazo ni sababu za kuwepo kwa ugonjwa huu.
Soma Zaidi...HOMA YA DENGUEHoma ya dengue ni miongoni mwa maradhi hatari ambayo husambazwa na mbu.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dalili za mtu Mwenye tatizo la mkojo kushindwa kutoka kwenye kibofu Cha mkojo.ni dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye tatizo la mkojo kushindwa kutoka kwenye kibofu Cha mkojo.
Soma Zaidi...