Msaada kwa wenye Maambukizi kwenye mifupa
Posti hii inahusu zaidi namna ya kuwahudumia wenye Maambukizi kwenye mifupa, ni njia ambazo zinaweza kutumika ili kuweza kuwasaidia wenye Maambukizi kwenye mifupa.
Huduma kwa wenye Maambukizi kwenye mifupa.
1.Kuwapatia maji yenye antibiotics.
2.kuwawaweka kwenye mkao mzuri ili kuweza kuepuka kunasababisha maumivu kwa mara ya pili.
3.Kupima joto na mwili, presha, msukumo wa damu na mapigo ya moyo.
4. Kusafisha kidonda ili kuhakikisha kuwa uchafu umeisha kwa kufuata hatua zote za uchafu.
5. Kuhakikisha unajua kiasi cha maji kilichoingia na kilichotoka.
6.Kwenda kwenye mazoezi ili kurekebisha sehemu yenye matatizo.
7.kumpatia mgonjwa dawa ya maumivu ili kupunguza maumivu hayo.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 ai web app 👉2 web hosting 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 kitabu cha Simulizi 👉6 Kitabu cha Afya
Post zinazofanana:
Sababu za maumivu wakati wa kujamiiana
​Maumivu wakati wa kujamiiana (kitaalamu dyspareunia) ni tatizo linalowasumbua wanawake wengi, ingawa mara nyingi halizungumzwi wazi kutokana na unyanyapaa au aibu. Maumivu haya yanaweza kusababishwa na sababu za kisaikolojia, matatizo ya kimwili, au mabadiliko ya kihomoni. Makala haya yanachambua vyanzo vikuu vya maumivu hayo na kutoa ukweli wa kisayansi (Fact Check) ili kukusaidia kujua hatua za kuchukua.
Soma Zaidi...Upungufu wa damu (Anemia): Dalili na vyakula vya kuongeza damu.
Upungufu wa damu (Anemia) ni changamoto kubwa ya afya ya jamii duniani inayotokea pale mwili unapokosa seli nyekundu za damu au protini ya hemoglobin ya kutosha kusafirisha oksijeni. Makala haya ya kitaalamu yanachambua kwa kina dalili za kliniki za anemia, makundi yaliyo katika hatari kubwa, na namna ya kukabili tatizo hili kupitia lishe. Muundo maalum wa makala haya unalenga kutoa mwongozo wa vyakula vyenye madini ya chuma ya Heme na Non-Heme, nafasi ya Vitamini C katika ufyonzwaji wa virutubisho, na mbinu za kuzuia anemia kwa mujibu wa miongozo ya kisayansi ya Shirika la Afya Duniani (WHO).
Soma Zaidi...Faida za kufanya mazoezi ya viungo kwa afya ya akili.
Tunapofikiria kuhusu mazoezi ya viungo, mara nyingi akili yetu inaenda moja kwa moja kwenye kupunguza uzito, kujenga misuli, au kuzuia magonjwa ya moyo. Hata hivyo, faida kubwa zaidi ya mazoezi iko kwenye afya ya akili zetu. Makala haya yanachambua jinsi harakati za mwili zinavyoweza kuwa tiba asili ya msongo wa mawazo, wasiwasi, na sonona, na jinsi unavyoweza kuanza leo.
Soma Zaidi...Dalili za anemia ya upungufu wa vitamin.
Anemia ya upungufu wa vitamini ni ukosefu wa seli nyekundu za damu zenye afya unaosababishwa na kiasi kidogo cha vitamini fulani kuliko kawaida.
Soma Zaidi...