Posti huu inahusu zaidi visababishi mbalimbali vya magonjwa, tunajua wazi kuwa ugonjwa ni hali ya kutokuwa kawaida kwa ogani mbalimbali kwenye mwili na kusababisha mwili kushindwa kufanya kazi zake vizuri.
Visababishi vya magonjwa.
1.Kama tulivyoona kuwa ugonjwa ni hali ya kufanya ogani mbalimbali kwenye mwili kushindwa kufanya kazi yake hali hiyo usababisha mwili kutokuwa kawao kwa hiyo kuna mambo mbalimbali ambayo uweza kusababisha ugonjwa, mambo hayo ni kama ifuatavyo.
2.Kuwepo kwa maambukizi.
Maambukizi ni mojawapo ya ya sababu ya kuwepo kwa magonjwa, utokea pale wadudu wanaoshambulia sehemu mbalimbali za mwili na kusababisha magonjwa wadudu wenyewe ni kama vile bakteria, virusi na wadudu wa aina yoyote uweza kusababisha maambukizi hatimaye Magonjwa.
3.Kuwepo kwa sumu.
Sumu nayo ni chanzo cha Magonjwa kwa sababu sumu ikiingia mwilini na kusababisha uharibifu wowote katika mwili hali hii upelekea kuwepo kwa magonjwa kwa hiyo tunapaswa kuepuka na vyakula ambavyo vinasababisha sumu mwilini kwa sababu sumu ilishaingia mwilini na kuaribu sehemu mbalimbali za mwili hatimaye tunapata Magonjwa.
4.Kuwepo kwa ajali.
Ajali nazo ni chanzo cha Magonjwa kwa sababu mtu akivunjika sehemu mojawapo ya mwili anaweza kuwa ni mgonjwa kwa mda mrefu kwa hiyo tunapaswa kujitahidi kuepukana na ajali mbalimbali kwa sababu ndizo chanzo cha ajali.
5.Mazingira
Na mazingira yenyewe yanakuwa chanzo cha ajali kwa sababu kutokana na uchafuzi wa mazingira au hali ya hewa kubadilika usababisha Magonjwa mbalimbali kwa mfano kuaribika kwa hozoni layer usababisha mwanga wa jua kuja moja kwa moja kwenye uso wa dunia na baadae Magonjwa mbalimbali yameweza kutokea.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukuletea Mambo ambayo hayawezi kuambukiza UKIMWI
Soma Zaidi...Kuzimia ni hali ya kupoteza fahamu ambako kunaendana na kutokuhema.
Soma Zaidi...Presha ya kupanda hutokea pale kipimo kinaposoma zaidi ya 120/80mm Hg.
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukujuza kuhusu makundi manne ya damu, asili yake, maana ya antijeni na antibody, pia utajifunza kuhusu mfumo wa Rh. Mwisho utajifunza watu wanaopasa kutoa damu.
Soma Zaidi...Kupanda kwa msukumo wa damu ni ktendo ambapo moyo husukuma damu kwa nguvu kuliko kawaida ambapo hupelekea matatizo mengi kwenye mwili
Soma Zaidi...Hapa utajifunza kuusu vitamini D, kazi zake, upungufu wake na chanzo cha kupata vitamini D.
Soma Zaidi...Huduma ya kwanza ni huduma anayopewa mgonjwa au mtu yeyote aliyepata ajali kabla ya kumpeleka hospitalini
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na kumsaidia mwenye aliyeumwa na nyuki.nyuki na wadudu ambao wakikushambulia Sana na ukikosa msaada unaweza kufa au kuwa katika Hali mbaya.
Soma Zaidi...