Posti hii inahusu zaidi njia za uzazi wa mpango kwa mama aliyejifungua kuanzia miezi sita mpaka mwaka mmoja.
Njia za uzazi wa mpango kuanzia miezi sita mpaka mwaka mmoja baada ya kujifungua.
1.Tunajua wazi kuwa baada ya kujifungua mama anaweza kunyonyesha mtoto wake kwa mda mrefu na wa kutosha kwa mize sita na pasipokutumia uzazi wa mpango na mama hasipatwe mimba lakini baada ya miezi sita hata kama ananyonyesha anaweza kupata mimba kwa hiyo zifuatazo ni baadhi ya njia za uzazi wa mpango anazoweza kutumia baada ya miezi sita.
2.Mama anaweza kutumia njia ya kusikiliza ute, utumika pale Mama anapashika ute wake na akiona kuwa ni mzito anaweza kujamiiana na hasipate mimba maana mbegu haziwezi kupita na kurutubisha yai, na kama ute ni mwepesi Mama hasijamiane kwa sababu mbegu zinaweza kupita na kurutubisha yai.
3.Njia ya kutumia progesterone homoni ya vidonge au ya sindano kwa sababu hizi uzuia yai lisipevuke kwa hiyo kwa kutumia njia hii Mama hawezi kupata mimba, kwa hiyo kabla ya kutumia njia hizi maelekezo kutoka kwa wataalamu wa afya ni lazima ili kuweza kujua iwapo kuna maudhi madogo madogo na kuweza kuona ni kitu cha kawaida na kinaweza kuisha.
4. Pia Mama anaweza kutumia njia ya mchanganyiko wa homoni mbalimbali ambazo ni progesterone na oestrogen, hizi homoni uweza kuzuia yai lisipevuke na mimba haiwezi kutungwa, kwa hiyo tunapaswa kujua kubwa hizi njia za uzazi wa mpango zinatumiwa baada ya kupata ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya.
5. Kwa hiyo kama Mama yupo katika hali fulani kama vile kunyonyesha, ametoa mimba ana kifua kikuu, ana presha anapaswa kuwaona wataalamu wa afya ili kujua njia gani aweze kutumia kwa hiyo akina Mama mnashauliwa kubwa wazi kuhusu Magonjwa yaliyopo ili kupatiwa njia inayofaa.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi mambo mbalimbali yanayodhoofisha afya za wanaume, kwa wakati mwingine wanaume ukosa kujiamini kwa sababu ya mambo ambayo yanaadhiri afya za wanaume.
Soma Zaidi...Nitajuwaje kama mjamzito amekaribia kujifunguwa, ni dalili gani anaonyesha, dalili za uchungu wa kujifunguwa
Soma Zaidi...Posti hii utakwenda kutoa sababu kuu za kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi. Kama na wewe numiongini mwaka endelea kusoma
Soma Zaidi...Je kutokwa na maji ukeni ambayo hayana harufu na meupe Hadi kuroanisha chupi, na je kutokwa na maji mengi wakati wa tendo la ndoa inaashilia nini?
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mambo mbalimbali ambayo yanapelekea Mjamzito kutokwa na damu, hizi ni baadhi ya sababu ambazo usababisha Mjamzito kutokwa na damu.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi maji ya Amniotic ni maji ambayo uzunguka mtoto na kufanya kazi mbalimbali kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwepo kwa harufu mbaya kwenye uke ukizingatia usafi huwa unafanyika mara kwa mara ila harufu bado inaendelea kuwa mbaya kwa hiyo tutaona sababu hapo chini.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea njia za kutatua tatizo la nguvu za kiume
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sifa za Ute wa ovulation, ni Ute ambao utokea siku za ovulation yaani siku ambazo ni tayari kwa kubeba mimba, yaani siku za upevishaji wa yai.
Soma Zaidi...