Posti hii inahusu namna au njia za kuandaa mdalasini kwa ajili ya tiba ya homoni imbalance kwa wanawake.
1. Kama tulivyokwisha kuona kwamba homoni imbalance ni hatari kwa wanawake ambapo uweza kuleta matatizo kama hakuna matibabu kwa hiyo tutatumia mdalasini Ili kuweza kutengeneza dawa hiyo.
2. Chukua mdalasini twanga, na pia chukua tangawizi nayo twanga na acha yote ikauke tofauti tofauti.
3. Chukua kijiko kidogo cha mdalasini na kidogo cha tangawizi na weka kwenye maji ya uvuguvugu kwenye nusu Lita.
,4. Ongeza kijiko cha asali kwenye mchanganyiko .
5. Kunywa hasa kwa wale wenye matatizo ya kuumwa tumbo wakati wa siku zao
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula kabichi
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula chungwa/orange
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukieleza kuhusu vyakula vya madini na kazi zake mwilini
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi kazi za tunda la mpapai katika kurekebisha homoni.ni tunda ambalo ufanya kazi yake kwa sababu ya kuwepo kwa virutubisho muhimu ndani ya tunda hili.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu umuhimu wa kitunguu maji mwilini
Soma Zaidi...