Posti hii inahusu zaidi chanjo ambazo utolewa nchini Tanzania, ni chanjo ambazo uzuia Magonjwa ambayo yako katika sehemu mbalimbali za nchi.
Chanjo zinazotolewa nchini Tanzania.
1.Kwanza kabisa tunajua kubwa chanjo usaidia kuzuia Magonjwa mbalimbali kwenye jamii na magonjwa mengi yalikuwa yamekuwa tishio hasa kwa watoto walio chini ya miaka mitano kwa hiyo chanjo zitolewazo ni kama ifuatavyo.
2.Chanjo ya polio .
Hii ni mojawapo ya chanjo ambayo uzuia kupooza kwa hiyo utolewa kwa watoto baada ya kuzaliwa, na baada ya miezi sita, miezi kumi na miezi kumi na minne.
3. Chanjo ya kifua kikuu.
Hii ni chanjo ambayo uzuia kifua kikuu na utolewa mara moja tu pale mtoto anapozaliwa na lazima pawepo na alama na kama hakuna alama yoyote chanjo urudiwa baada ya mwezi mmoja.
4.Chanjo ya homa ya ini.
Pia nayo ni chanjo ambayo utolewa kwa watoto na watu wazima kwa watoto utolewa baada ya miezi sita anapozaliwa ila kwa watu wazima utolewa pale mtu akipimwa na akakutana hana ugonjwa huu anaweza kupata chanjo hiyo.
5.Chanjo ya mlango wa kizazi .
Chanjo huu utolewa kwa mabinti mbalimbali hasa wale ambao hawafiki wa umri wa kuolewa kwa hiyo hili ni chanjo ya muhimu sana kwa sababu ya kuwepo kwa Maambukizi.
6.Chanjo ya uti wa mgongo
Hii ni aina ya chanjo ambayo uzuia kuwepo kwa Maambukizi kwenye uti wa mgongo kwa hiyo utolewa kwa watoto.
7.Chanjo ya kuzuia matatizo ya upumuaji.
Hii nayo ni moja ya chanjo ambayo uzuia matatizo ya upumuaji kwa hiyo upewa watoto wakiwa katika umri mdogo ili kuzuia ili tatizo mapema
8.Chanjo ya kuzuia kuharisha ,chanjo ya Surua, chanjo ya kifadulo na chanjo nyingine mbalimbali ambazo hasa uzuia maambukizi kwa watoto.
9.Kwa hiyo tunaona jinsi chanjo zilivyoleta faida kwa jamii kwa sababu Magonjwa mengi yamepungua na mengine yameisha kabisa kwa hiyo tunapaswa kuhudhuria kliniki na kuwasaidia watoto wetu waweze kupata chanjo kwa wale wanaotumia mila na desturi ili kupinga chanjo waache mara moja tabia hiyo na wapewe elimu ya kutosha kuhusu chanjo.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza jinsi ya kumfanyia huduma ya Kwanza kwa mtu aloanguka kifafa
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi imani potofu juu ya ugonjwa wa Ukimwi,ni Imani walizonazo watu wengi kuhusiana na ugonjwa wa Ukimwi.
Soma Zaidi...upungufu wa damu wa madini ya chuma ni aina ya kawaida ya upungufu wa damu hali ambayo damu haina chembe nyekundu za damu zenye afya. Seli nyekundu za damu hubeba oksijeni kwa tishu za mwili. Bila chuma cha kutosha, mwili wako hauwezi kutoa dutu ya k
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu Rangi za mkojo na maana zake na mkojo mchafu
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu mbalimbali za chakula kushindwa kumengenywa kwenye tumbo,ni sababu mbalimbali hasa za kiafya kama tutakavyoona hapo mbeleni
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyeng'atwa na nyoka
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi malengo ya kusafisha vidonda, kwa sababu Kuna watu wengine huwa wanajiuliza kwa nini nisafishe kidonda hospitalini au kwenye kituo chochote Cha afya, yafuatayo ni majibu ya kwa Nini nisafishe kidonda.
Soma Zaidi...