picha
UGONJWA WA KUPOROMOKA KWA MAPAFU (PNEUMOTHORAX)

Posti hii inazungumzia Ugonjwa wa mapafu ambao hujulikana Kama pafu lililoporomoka (Pneumothorax) hutokea wakati hewa inavuja kwenye nafasi kati ya...

picha
ATHARI ZA UGONJWA WA HERPES SIMPLEX KWA WATOTO WADOGO.

Posti hii inahusu zaidi athari za Ugonjwa wa herpes simplex kwa watoto wadogo, tunajua kubwa mama kama ana ugonjwa huu...

picha
ATHARI ZA UGONJWA WA HERPES SIMPLEX KWA WAJAWAZITO

Post inahusu zaidi athari za Ugonjwa wa herpes simplex kwa wajawazito au ugonjwa wa vipele kwenye midomo na sehemu za...

picha
UPUNGUFU WA DAMU WA MADINI (ANEMIA YA UPUNGUFU WA MADINI)

upungufu wa damu wa madini ya chuma ni aina ya kawaida ya upungufu wa damu hali ambayo damu haina chembe nyekundu za...

picha
NAMNA UGONJWA WA HERPES SIMPLEX UNAVYOSAMBAA.

Posti hii inahusu zaidi namna ya ugonjwa wa vipele kwenye midomo na sehemu za siri unavyoweza kuenea kutoka kwa mtu...

picha
HUDUMA KWA WENYE UGONJWA WA HERPES SIMPLEX AU VIPELE KWENYE MIDOMO NA SEHEMU ZA SIRI

Post hii inahusu zaidi tiba na huduma kwa wenye ugonjwa wa herpes simplex au vipele kwenye midomo na sehemu za...

picha
DALILI ZA UGONJWA WA HERPES SIMPLEX AU VIPELE KWENYE MIDOMO NA SEHEMU ZA SIRI

Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa wa vipele kwenye midomo na sehemu za siri ambao kwa kitaalamu huitwa...

picha
UGONJWA WA VIPELE KWENYE MIDOMO NA SEHEMU ZA SIRI.

Posti hii inahusu zaidi kuwepo kwa vipele kwenye midomo na sehemu za siri .Ni ugonjwa ambao kwa kitaalamu huitwa herpes...

picha
ZIJUWE ATHARI ZA VIDONDA MWILINI

Posti hii inahusu zaidi athari za kutotibu vidonda, hizi ni athari mbalimbali ambazo zinaweza kutokea ingawa kama vidonge haujatibiwa au...

picha
UVIMBE KWENYE UTANDU LAINI ULIOPO TUMBONI (PERITONITIS)

Posti hii inazungumzia kuhusiana na Uvimbe au mashambulizi ya bacteria kwenye utando laini uliopo tumboni ambao kitaalamu hujulikana Kama peritonitis.

picha
NJIA ZA KUZUIA DAMU ISIENDELEE KUVUJA

Posti hii inahusu zaidi njia za kuzuia damu isiendelee kuvuja, ni njia ambazo utumika ikiwa kuna damu inavuja kwenye sehemu...

picha
SABABU ZA ZINAZOSABABISHA KUWEPO KWA VIDONDA

Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwepo kwa vidonda, kwa sababu tunaona vidonda vinashambulia sehemu mbalimbali za mwili ila tunakuwa...

picha
UTAJUWAJE KAMA KIDONDA KUPONA

Posti hii inahusu zaidi juu ya kuhakiki kama kidonda kimepona kwa mgonjwa mwenye vidonda, kwanza kabisa tunajua kuwa vidonda uwanyima...

picha
MSAADA KWA WENYE TONSILS

Posti hii inahusu zaidi msaada kwa wenye tonsils, kwa wale wenye tonsils wanapaswa kufanya yafuatayo ili kuweza kupambana na ugonjwa...

picha
NAMNA MADONDA KOO YANAVYOTOKEA

Posti hii inahusu namna madonda koo yanavyotokea, ni jinsi na namna Magonjwa haya au Maambukizi yanavyotokea na kuweza kusababisha madhara...

picha
FAHAMU MATATIZO YA INI KUWA NA KOVU

kovu (Fibrosis) ya ini inayosababishwa na aina nyingi za magonjwa na hali ya ini, kama vile Homa ya Ini na...

picha
KAZI ZA HOMONI KATIKA MZUNGUKO HEDHI.

Post hii inahusu zaidi kazi za homoni katika Mzunguko wa hedhi, katika kipindi hiki kuna homoni mbalimbali ambazo ufanya kazi...

picha
MALENGO KWA AKINA MAMA NA WACHUMBA KABLA YA KUBEBA MIMBA.

Posti hii inahusu zaidi malengo kwa akina Mama na wachumba kabla ya kubeba mimba, ni malengo ambayo yametolewa ili kuweza...

picha
VIPIMO MUHIMU KABLA YA KUBEBA MIMBA

Posti hii inahusu zaidi vipimo muhimu kabla ya kubeba mimba,ni vipimo vya moja kwa moja kutoka maabara na vingine sio...

picha
USHAURI KABLA YA KUBEBA MIMBA.

Posti hii inahusu zaidi ushauri kwa akina Mama na wachumba kabla ya kubeba mimba, kabisa ya kubeba mimba akina Mama...

picha
FAIDA ZA UZAZI WA MPANGO KWA JAMII

Posti hii inahusu zaidi faida za uzazi wa mpango kwa jamii, tunapaswa kujua kuwa uzazi wa mpango ukitumiwa vizuri na...

picha
FAIDA ZA UZAZI WA MPANGO KWA WATOTO.

Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa uzazi wa mpango kwa watoto, sio akina Mama peke yao wanaofaidika na uzazi wa...

picha
UGONJWA WA COMA

Coma ni hali ya kupoteza fahamu kwa muda mrefu ambayo inaweza kusababishwa na matatizo mbalimbali Jeraha la Kichwa, Kiharusi, Uvimbe...

picha
MATATIZO YANAYOWEZA KUSABABISHA SARATANI.

Posti hii inazungumzia kuhusiana na matatizo yanayoweza kusababisha Ugonjwa wa Saratani.

Page 163 of 229

Kuhusu Bongoclass

image

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.