Msaada kwa wenye tonsils
Posti hii inahusu zaidi msaada kwa wenye tonsils, kwa wale wenye tonsils wanapaswa kufanya yafuatayo ili kuweza kupambana na ugonjwa huu.
Msaada kwa wenye tonsils.
1.Kwanza kabisa Mgonjwa wa tonsils anakuwa na maumivu kwa hiyo tunapaswa kumpatia dawa ya maumivu ili aweze kupunguzwa maumivu ,dawa zenyewe ni kama vile Asprin na paracetamol kwa kufanya hivyo Mgonjwa atapata nafuu na matibabu mengine yatakuwa yanaendelea.
2. Pia unaweza kuchukua maji ya uvugu uvugu ukaweka chumvi na pia ukampatia Mgonjwa akasukutua kwenye sehemu ya tonsils na kwa kufanya hivyo anaweza kuua bakteria ambao wapo wanamsumbua Mgonjwa na nafuu inaweza kupatikana.
3. Pia kwa wenye tonsils zinazosababishwa na bakteria wanaweza kutumia antibiotics aina ya amoxicillin na ikishirikiana anatumia ciploflaxine na zote hizi zikishindikana anaweza kutumia sindano na pia dawa hizi zinapaswa kutumiwa kwa kupata ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya sio kununua tu dukani pasipokuwa na utaalamu wa kutosha.
4.Kama nilivyokwosha tangulia kusema hapo mwanza kuwa tonsils zinazosababishwa na virus hazina dawa ni mpaka kumuandaa Mgonjwa kwa ajili ya upasuaji na Dalili zake ni pamoja na pua kutoa makamasi yenye maji, matatizo kwenye kuona na kikohozi hizi ndizo dalili za tonsils ambazo usababishwa na virus.
5.Kwa hiyo tunapaswa kutibu ugonjwa huu kwa sababu usipotibiwa unaweza kuleta shida kwenye figo, kwenye Tishu nyingine za mwili kwa hiyo ni vizuri kabisa kutafuta tiba kulingana na chanzo cha ugonjwa
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 web hosting 👉2 ai web app 👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 Dua za Mitume na Manabii 👉6 Simulizi za Hadithi Audio
Post zinazofanana:
Vyakula vya vitamini
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za vyakula vya vitamini
Soma Zaidi...Huduma kwa watu waliodhani wamepatwa na maambukizi.
Posti hii inahusu zaidi huduma ambazo utolewa kwa watu wanaodhani wamepatwa na maambukizi ya virus vya ukimwi.
Soma Zaidi...Utaratibu wa lishe kwa wajawazito na wanaonyonyeaha
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa wajawazito na wanaonyonyesha
Soma Zaidi...Namna ambavyo mwili unapambana na maradhi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ambavyo mwili unapambana na maradhi
Soma Zaidi...Mbinu za kupunguza magonjwa yanayohusiana na figo
Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa figo. Ni ugonjwa unaotokana pale figo linaposhindwa kufanya kazi, tuone mbinu za kufanya Ili kuepuka na tatizo hilo.
Soma Zaidi...