Post hii inahusu zaidi tiba na huduma kwa wenye ugonjwa wa herpes simplex au vipele kwenye midomo na sehemu za siri.
Huduma kwa wenye ugonjwa wa herpes simplex au vipele kwenye midomo na sehemu za siri.
1.kwanza kabisa tunapaswa kujua kuwa Magonjwa yanayosababishwa na virus huwa hayana dawa kwa hiyo tunaweza kutibu dalili na pengine Mgonjwa huwa kwenye hali ya kawaida na kuendelea na maisha ya kama kawaida. Kwa hiyo tunaweza kutoa huduma zifuatazo.
2.Kumpatia Mgonjwa maneno malaini na kuongea naye vizuri kuhusu ugonjwa na kumhakikishia kuwa atapona na kuendelea na hali ya kawaida na kwa wakati huu ni kipindi cha kujua afya ya mgonjwa.kama ana Maambukizi yoyote hasa virusi vya ukimwi na magonjwa mengine na hasa kuja mlo wake na maisha ya kipato ili kuweza kutoa msaada kwa mgonjwa ili apate mlo kamili.
3.Kwa sababu ya kuwepo kwa maumivu Mgonjwa anapaswa kupewa dawa za kupunguza maumivu kama vile panadol, aspirin na dawa nyingine za kupunguza maumivu kwa kadiri ya hali ya mgonjwa.
4.Mgonjwa anapaswa kupewa dawa za acyclovir ambazo usaidia katika kutibu Magonjwa yanayotokana na virusi na pia mgonjwa anatakiwa kupewa maji mengi ya kunywa ili kuweza kuepuka na matatizo ya dawa hizo kwenye kibofu cha mkojo.
5.Na pia kwa mtu mwenye Ugonjwa huu tunapaswa kuzuia ili Ugonjwa usisambae kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine na pia elimu inapaswa kutolewa kwa jamii na kwa mgonjwa mwenyewe kuhusu Ugonjwa huu unavyoambukizwa
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kujikinga na kisukari
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kukabiliana na minyoo
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi matumizi ya vidonge vya ARV, ni vidonge vinavyotumiwa na wagonjwa waliopata ugonjwa wa Ukimwi
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya roghage
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu kushiriki-ngono-na-mtu-aliye-na-vvu-na-ukimwi
Soma Zaidi...Unyanyasaji wa kimwili. Unyanyasaji wa watoto kimwili hutokea wakati mtoto amejeruhiwa kimwili kimakusudi. Unyanyasaji wa kijinsia. Unyanyasaji wa watoto kingono ni shughuli yoyote ya kingono na mtoto, kama vile kumpapasa, kushikana mdomo na sehemu
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi ajali ya jicho na visababishi vyake, ajali ya jicho ni pale jicho linavyoingiliwa na uchafu na vitu vingine ambavyo havistahili kuwa kwenye jicho
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwepo kwa vidonda, kwa sababu tunaona vidonda vinashambulia sehemu mbalimbali za mwili ila tunakuwa hatuna sababu kwa hiyo zifuatazo ni sababu za kuwepo kwa vidonda.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa wazee
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sehemu ambazo zinapaswa kudungwa chanjo, hizi ni sehemu zile zilizopendekezwa kwa ajili ya kuchoma chanjo kwa kadiri ya kazi ya chanjo.
Soma Zaidi...