Zijuwe athari za vidonda mwilini

Posti hii inahusu zaidi athari za kutotibu vidonda, hizi ni athari mbalimbali ambazo zinaweza kutokea ingawa kama vidonge haujatibiwa au vimetibiwa kwa kuchelewa.

Athari za kutotibu vidonda.

1.Kuwepo kwa makovu katikati ya tishu.

Kama kidonda hakijatibiwa vizuri kuna uwezekano mkubwa wa kuwepo kwa makovu makubwa kati kati ya tishu ambayo Usababisha kurudiwa kwa upasuaji  kama kidonda kilikuwa kimesababishwa na upasuaji , makovu haya yanaweza kuwa kwenye moyo na na sehemu nyingine ambazo Usababisha kuaribika kwa utumbo mkubwa au mdogo kwa sababu ya sumu kutoka katika sehemu mbalimbali zenye makovu hayo.

 

2. Pia panaweza kuwepo kwa mivutano kwenye misuli, kwa kawaida kidonda kama kinaposa uvuta ngozi moja na nyiy ili kuweza kufanya uponyaji kutokea lakini kuna vidonda vingine uvuta ngozi sana na kusababisha kutokea kwa kitu kingine ambacho hakikuwepo baadae kunaweza kusababisha misuli kuwa na maumivu yasiyo ya kawaida.

 

3.Pia Kuna madhara mengine ambayo ni kupasuka kwenye sehemu ambayo kidonda kinajifunga hasa hasa hali hii usababishwa na jinsi upasuaji ulivyofanyika kwa sababu hali hii utokea kwa wale waliofanyiwa upasuaji kwenye sehemu za tumboni.

 

4.Kuwepo kwa Maambukizi, hali hii utokea kwa sababu ya kuwepo kwa uchafu au utunzaji mbaya kwenye sehemu ya kidonda kwa hiyo ni lazima na vizuri kuweka kidonda kwenye sehemu safi.

 

5. Kuvuja kwa kidonda.

Hali hiii utokea kwa sababu ya kuwepo kwa sehemu ambayo haijafungwa vizuri na pia sehemu ya kidonda labda imepatwa na ajali

 



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/02/23/Wednesday - 11:25:04 am     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 895


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-