Je, mtu anaweza kusoma quran akiwa amelala?

Kusoma Qur'an kuna faida kubwa kwa Muislamu, kwanza kunampatia thawabu, kunatoa nuru maisha yake, mwili wake na kumlinda na mashetani na watu wabaya. Quran ni dawa na pozo kwa magonjwa. Thawabu za Qur-an hulipwa kwa kila herufi. Quran pia huja kutet

Swali

Je, mtu anaweza kusoma quran akiwa amelala?

 

Jibu: 

✍️Ndio inaruhusiwa kusoma quran katika hali zote zile, ukiwa umelala,  umekaaa ama umesimama. Pia unaruhusiwa kusoma quran hata kamahuna udhu. 

 

✍️Kuna hutilafu za wanazuini kuhusu kuushika msajafu kwa ambaye hana udhu.  Pia ukiwanajanaba hairuhusiwi kusoma Quran. 

 

✍️Kuna hitilafu pia kusoma Quran kwa ambaye ana hedhi. Wapo wengine wameruhusu na wengine wamekataa. 

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Quran Main: Dini File: Download PDF Views 2139

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 web hosting    👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina    👉3 kitabu cha Simulizi    👉4 Kitabu cha Afya    👉5 Dua za Mitume na Manabii    👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)   

Post zinazofanana: