Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutotibu Maambukizi kwenye mifupa,ni madhara ambayo utokea endapo Maambukizi kwenye mifupa yasipotibiwa kwa mda wake.
Madhara ya kutotibu Maambukizi kwenye mifupa.
1. Kuharibika na kusagika kabisa kwa mifupa.
Endapo Maambukizi kwenye mifupa hayataweza kutibiwa mapema kuna hatari ya kuaribika na kusagika kabisa kwa mifupa hali hii usababisha ulemavu wa kudumu kwa mgonjwa, hasa hasa ni hatari kwa watoto wanaweza kushindwa kutembea na hatimaye maisha yao yakawa ni kulala kwa mda wote.
2. Maambukizi kwenye mifupa yanaweza kusababisha kansa ya mifupa.
Kwa sababu ya kuwepo kwa bakteria ambao usababisha Mashambulizi na hali ikiongezeka bila ya kutibiwa usababisha kansa ya mifupa, ambayo uweza kuleta matokeo hasi ambayo ni pamoja na kupoteza maisha kwa mgonjwa, kwa hiyo tunapaswa kutibu mara moja ugoy huu ikiwa umegundulika mapema.
3. Maambukizi kwenye mifupa usababisha kuoza kwa mifupa, hali hii utokea kwa sababu ya Maambukizi ya mda mrefu ya bakteria ambapo bakteria ushambulia hasa mifupa na kusababisha maji maji ambayo Yamo kwenye mifupa kuisha au kubaki kidogo na hatimaye mifupa kuoza, hali hii umfanya mgonjwa kushinda amelala kwenye sehemu moja tu na kushindwa kufanya shughuli zake za kila siku.
4. Kutokea kwa ulemavu wa kudumu.
Kwa sababu ya Maambukizi kwenye mifupa kunakuwepo na ulemavu wa kudumu hali hii utokea kwa sababu Maambukizi yameshambulia sehemu moja na nyingine kidogo kwa hiyo mgonjwa utembelea sehemu ambayo ina ka uhafadhari na sehemu nyingine inaweza kukosa msaada ndo maana utakuta mgonjwa kushika fimbo au kitu chochote cha kumsaidia kutembea.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi njia zinazotumika ili kuangalia Maambukizi kwenye mifupa.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi maambukizi kwenye nephroni, uweza kutokea kwenye figo Moja au zote mbili.
Soma Zaidi...Malaria ni moja ya magonjwa hatari yanayoongoza katika vifo vya watoto wengi duniani walio chni ya umri wa miaka 5. Katika post hii utakwend akujifunza kuhusuugonjwa huu jinsi unavyotokea, hatuwa zake na dalili zake.
Soma Zaidi...Jifunze dalili za gonorrhea na namna inavyoambukiza, zipi athari za gonori kwa wanawae na wanaume
Soma Zaidi...Fangasi hawa kitaalamu wanafahamika kama vagina yeast infection na majina mengine ya kitaalamu ni kama vagina candidiasis, u vulvovaginal candidiasis au candidal vaginitis.
Soma Zaidi...Bila shaka umeshawahi kujiuliza kuwa je mate yanaambukiza HIV ama laa. Na kama hayaambukizi ni kwa sababu gani. Sio mate tu pia kuhusu jasho kama pia linaweza kuambukiza ukimwi ama HIV. Wapo pia wanajiuliza kuhusu mkojo kama unaweza kuambukizwa HIV. Kar
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na maumivu yanayosababishwa na mtiririko mdogo wa damu, kwa kawaida wakati wa mazoezi. Wakati mwingine huitwa upenyo wa vipindi, hali hii kwa ujumla huathiri mishipa ya damu kwenye miguu, lakini upenyo unaweza kuathiri mi
Soma Zaidi...MATIBABU YA VIDONDA VYA TUMBO Matibabu ya vidonda vya tumbo inategemea sababu.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na Magonjwa mbalimbali ambayo watoto chini ya miaka wanaweza kuyapata kiurahi.
Soma Zaidi...FAIDA ZA KIAFYA ZA MINYOO Wakati mwingine kuwa na aina flani ya minyoo kunaweza kuwa na faida katika afya.
Soma Zaidi...