Athari za Ugonjwa wa herpes simplex kwa watoto wadogo.

Posti hii inahusu zaidi athari za Ugonjwa wa herpes simplex kwa watoto wadogo, tunajua kubwa mama kama ana ugonjwa huu anaweza kumwambikiza mtoto na mtoto akazaliwa na Ugonjwa huu.

Athari za Ugonjwa wa herpes simplex au vipele kwenye midomo na kwenye sehemu za siri kwa vichanga na watoto wadogo.

1.Ugonjwa huu unaweza kusambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine au kutoka kwa Mama kwenda kwa mtoto pale ambapo Mama kama haujatibiwa Ugonjwa huu kwa hiyo madhara mbalimbali yanaweza kutokea kwa vichanga na watoto wadogo kama ifuatavyo.

 

2. Mtoto kubwa na matatizo kwenye uti wa mgongo na kwenye ubongo hali ambayo Usababisha mtoto kuw na degedege na kwa wakati mwingine mtoto uzaliwa akiwa na ulemavu wa akili. Kwa hiyo tunapaswa kutibu ugonjwa huu mara ukitokeakwa sababu unaleta madhara makubwa zaidi kwa watoto wadogo.

 

3.Pia kama Ugonjwa huu umekuwa sugu kwenye mwili wa mtoto uweza kusababisha hali ya kuenea kwenye viungo vingine vya mwili na kusababisha maambukizi huko  , kwa mfano Maambukizi kwenye ini na kwenye mapafu hali ambayo upekea  ogani hizi kuwa ha hali mbaya kwenye ufanyaji kazi kwa hiyo tunapaswa kutibu Mapema Ugonjwa huu.

 

4.Pia Ugonjwa huu Usababisha mtoto kutokua vizuri na kupungua uzito na kama Maambukizi yalikwenda mpaka kwenye macho mtoto anaweza kuwa kipofu au kubwa na matatizo ya macho. Kwa ujumla Ugonjwa huu ni hatari kwa maisha ya binadamu na  hasa kwa watoto na usipotibiwa mapema unaweza kuleta kifo.

 

5.Kwa hiyo baada ya kuona madhara ya ugonjwa huu kwa watoto tunapaswa kutoa elimu kwa jamii ili kuepuka balaa hili na Dalili zote zinapaswa kuwekwa wazi ili watu wakijua ugonjwa wataweza kuutibu na kuzuia maambukizi.

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: magonjwa Main: Afya File: Download PDF Views 1794

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio    👉2 web hosting    👉3 Dua za Mitume na Manabii    👉4 Kitau cha Fiqh    👉5 kitabu cha Simulizi    👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)   

Post zinazofanana:

Namna madonda koo yanavyotokea

Posti hii inahusu namna madonda koo yanavyotokea, ni jinsi na namna Magonjwa haya au Maambukizi yanavyotokea na kuweza kusababisha madhara kwa watu.

Soma Zaidi...
Dalili na ishara za shambulio la moyo

Posti hii inazungumzia kuhusiana na Dalili na ishara za shambulio la moyo. Shambulio la moyo huzuia damu yenye oksijeni kufika kwenye moyo hivyo hupelekea tishu kufa. Na Ugonjwa huu mtu akicheleweshewa matibabu huweza kupata mshtuko wa moyo mpaka kifo.

Soma Zaidi...
Magonjwa ya moyo

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu magonjwa ya moyo

Soma Zaidi...
Dalili za ugonjwa wa Bawasili

Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa Bawasili, ni Dalili ambazo ujitokeza kwa mgonjwa ambaye ana ugonjwa wa Bawasili.

Soma Zaidi...
Dalili za kuvimbiwa kwa watoto.

Kuvimbiwa kwa watoto ni shida ya kawaida. Kuvimbiwa kwa watoto mara nyingi huonyeshwa na kinyesi kisicho kawaida au kinyesi ngumu na kavu.

Soma Zaidi...
Namna ya kufanya usafi wa sikio

Post hii inahusu zaidi namna ya kufanya usafi wa sikio, sikio ni mojawapo ya ogani ambayo usaidia kusikia,kwa hiyo sikio linapaswa kusafishwa kwa uangalifu kama tutakavyoona hapo chini.

Soma Zaidi...
Athari za kutotibu fangasi

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu athari za kutokutibu fangasi

Soma Zaidi...
Matatozo katika choo kidogo, maradhi ya figo na dalili zake pia namna ya kujikinga na madhradhi ya figo

MATATIZO YA CHOO KIDOGO NA FIGOFigo ni kiungo muhimu sana katika uchujaji wa mkojo, na afya ya mfumo wa utoaji taka mwili.

Soma Zaidi...
Kucha langu LA mguu linang'ooka...nini chaweza kuwa tatizo

Je na wewe unasumbukiwa na kunggoka jwa kucha. Tatizo limekunaza una muda gani nalo?

Soma Zaidi...