Posti hii inahusu zaidi juu ya kuhakiki kama kidonda kimepona kwa mgonjwa mwenye vidonda, kwanza kabisa tunajua kuwa vidonda uwanyima Watu raha na pengine kuwafanya wakate tamaa kama wapo hospitalini kwa hiyo tunapaswa kutumia njia zifuatazo ili kuweza ku
Uhakiki wa kidonda kupona.
1.Tunapaswa kuangalia kama mishipa ya damu inaweza kupita na kusafirisha damu kutoka upande mmoja kwenda mwingine. Kwa sababu sehemu yenye kila kidonda damu huwa haipiti ila kwa kadiri kinavyoendelea kupona hivyo hivyo ndiyo na mishipa ya damu inaanza kupita.
2 Kitu kingine ni kuangalia kiasi cha Maumivu kilichopo kwa kawaida kidonda kama ni kipya na maumivu yanakiwepo mengi na kadiri kinavyoendelea kupona na maumivu upungua kwa hiyo ukija kumruhusu Mgonjwa kwenda nyumbani akidai amepona kwanza kabisa jaribisha kama kuna maumivu au maumivu ni machache ambayo hata akiwa nyumbani anaweza kuyamudu na kupona vizuri.
3. Na pia tunapaswa kuangalia kama kidonda kinatoa maji maji, kama kinatoa maji hiyo ni Dalili kwamba matibabu bado yanahitajika na mgonjwa anapaswa kuendelea kupata matibabu au kupewa dawa za kutumia ili aweze kuendelea kuzitumia.
4.Kwa hiyo katika kutibu vidonda tunapaswa kuangalia na hali ya wagonjwa wetu ikoje kwa sababu pengine vidonda vknadhindwa kupona kwa sababu ya Maambukizi au kuwepo kwa madawa yanayopunguza kinga mwilini kwa kufanya hivyo Mgonjwa anaweza kutibiwa kwanza chanzo na mengine yanaendelea baadae.
5. Kwa hiyo pale ruhusa inapotolewa ili mgonjwa aendelee na tiba ni vizuri kumpa mashariti akiwa nyumbani namna ya kutunza kidonda chake na kama ana Maambukizi awe makini ili asiwambukize wengine na wale wanaomzunguka
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inaelezea kuhusiana na upungufu wa maji mwilini
Soma Zaidi...Kupanda kwa msukumo wa damu ni ktendo ambapo moyo husukuma damu kwa nguvu kuliko kawaida ambapo hupelekea matatizo mengi kwenye mwili
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi namna mimba inavyotungwa mpaka mtoto kuingia kwenye mfuko wa uzazi, mimba kutungwa ni kitendo ambapo mbegu za kiume kuungana na yai la kike na kutengeneza zygote.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ya chakula kushindwa kumengenywa vizuri tumboni, haya ni madhara ambayo utokea kwa sababu ya chakula kushindwa kumengenywa vizuri tumboni.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida za kusafisha vidonda, ni faida ambazo Mgonjwa mwenye vidonge uzipata kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu wa vyakula
Soma Zaidi...Posti hii inahusu njia mbalimbali ambazo utumika kupitisha chanjo, njia hizo utegemea na kazi ya chanjo kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa wajawazito na wanaonyonyesha
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea endapo tatizo halijatibiwa.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyeng'atwa na nyuko
Soma Zaidi...