Kazi za homoni katika Mzunguko hedhi.

Post hii inahusu zaidi kazi za homoni katika Mzunguko wa hedhi, katika kipindi hiki kuna homoni mbalimbali ambazo ufanya kazi kama tutakavyoona.

Kazi za homoni katika Mzunguko wa hedhi.

1.Tunapaswa kujua kuwa homoni ni kemikali ambazo uzalishwa na glandi na kufanya kazi mbalimbali kwenye mwili, kwa hiyo kila homoni huwa ina kazi yake ambayo uifanya kama homoni hiyo haipo hakuna kitu ambacho kinaweza kufanyika, homoni inaweza kukosa kwa sababu mbalimbali kama vile Magonjwa na sababu nyingine nyingi.

 

2.Gonadotrophin homoni.

Hii ni homoni ambayo uzalishwa kwenye ubongo na kazi yake ni kuhakikisha kwamba follicle stimulating hormone na lutenizing homoni zinakuwepo kwa ajili ya kufanya yai likomae na baadae liweze kutolewa kwenda kwenye mrija kwa ajili ya kukutana na mbegu.

 

3.Lutenizing homoni.

Hii ni homoni ambayo kazi yake ni kuhakikisha kuwa yai likishakomaaimaa inalisafilisha kutoka kwenye ovari mpaka kwenye follapian tube au kwenye mirija kwa ajili ya kukutana na mbegu.

 

4.Follicle stimulating hormone.

Hii nayo ni homoni ambayo usaidia yai likue kwenye ganda lake na likishamaliza kukomaa utoa homoni ambayo inaitwa estrogen homoni.

 

5.Estrogen homoni hii ni aina ya homoni ambayo utokea baada ya kukomaa kwa yai na kazi yake uenda kwenye mlango wa kizazi na kujiimarisha na pia ufanya ute kubwa tayari kwa ajili ya kupitisha mbegu.

 

6.Progestron homoni.

Hii ni aina ya homoni ambayo uzaliwa baada ya kupasuka kwa yai kwa hiyo kazi yake ni kuimarisha mlango wa kizazi ili uweze kuwa tayari kwa kumpokea mtoto kama mimba itakuwa imetungwa kama haipo ndoa tunaona damu za kila mwezi.

 

7.Pia kuna homoni nyingine ambayo inawahusu wanaume hii inaitwa progesterone homoni ambayo usaidia  kuwepo kwa sauti ya kiume, uboo kusimama na sifa zote za kiume

 

 

 

 

 

 Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/02/21/Monday - 04:46:37 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 936


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-