Post hii inahusu zaidi njia mbalimbali ambazo mtoa huduma anaweza kuzitumia kuangalia kama mtoto amevunjika baada ya kuzaliwa.
Njia za kugundua kama mtoto amevunjika baada ya kuzaliwa.
1. Tunafahamu kabisa kwamba mtoto mdogo hawezi kujieleza chochote ila njia yake kuu ni kulia tu inawezekana kabisa mtoto kavunjika ila haujui kavunjika wapi kwa hiyo kitu cha kwanza kabisa ni kuangalia sehemu zote kuanzia kichwani hadi miguuni ili kuweza kujua kama mtoto yuko salama au kwa wakati mwingine unapaswa kugusa kiungo kimoja hadi kingine hasa hasa kama mtoto amepata shida wakati wa kuzaliwa hapo utaweza kugundua mapema kwa sababu utakapomgusa mtoto akalia ni hapo hapo unapaswa kupaangalia kwa karibu zaidi.
2. Kuna sehemu nyingine sio rahisi kuzigundua mara moja mpaka mtoto afikishe masaa sabini na mbili ambapo ni sawa na siku tatu, hapa kwa wamama waliowengi wanakuwa wameshauri nyumbani kwa hiyo mtoa huduma anapaswa kumwelekeza Mama namna ya kumwangalia mtoto wake na kuhakikisha kwamba ikiwa amepata shida arudishwe hospitalini mara moja.
3. Kuna sehemu nyingine kama zimevunjika kupona huwa zinatumia siku chache au nyingine siku nyingi kwa mfano kwenye sehemu ya kiuno utumia masaa sabini na mawili kupona na kwenye sehemu nyingine utmia wiki mbili au tatu.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza njia za kuongeza nguvu za kiume
Soma Zaidi...Post huu inahusu zaidi mambo yanayopelekea ugumba kwa wanaume, ni mambo ambayo uchangia au upelekea mwanaume kukosa uzazi.
Soma Zaidi...Nitakujulisha siku ya kupata mimba na sifa zake, na namna ya kuweza kuitafuta
Soma Zaidi...Ni ngumu ila nitakujuza namna ya kuitambuwa mimba ya siku moja hadi 3, mimba ya wiki moja na mimba ya miezi mitatu kwa dalili.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza baadhi ya sifa za siku za kupata mimba
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na Dalili pamoja na mambo yanayosababisha nguvu za kiume kupungua kwa Wanaume
Soma Zaidi...Post hii itakujulishs kwa namna gani mwanaune anaweza kupata fangasi kwenye uume wake
Soma Zaidi...Majimaji msule sehemu za siriyanaweza kuashiria mambo mengi ka mwanamke. Ikiwemo ujauzitina maradhi. Pia yanaweza kuashiria kuwa mwanamke unaweza kuoatavujauzito amalaa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu za mtoto mchanga kuzaliwa akiwa na uzito mkubwa, ni tatizo ambalo utokea kwa baadhi ya wajawazito kupata mtoto mwenye Uzito mkubwa, wengine uona kama ni sifa ila Kuna madhara yanaweza kujitokeza kwa Mama hasa wakati wa kujif
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu mbalimbali ambazo zinafanya wajawazito kupata ugonjwa wa Bawasili, kwa sababu tatizo hili linawapa wakina mama wajawazito, kwa hiyo tutaona kwa nini wajawazito wanapatwa na tatizo hili sana.
Soma Zaidi...