Posti hii inahusu zaidi kuwepo kwa vipele kwenye midomo na sehemu za siri .Ni ugonjwa ambao kwa kitaalamu huitwa herpes zoster
Ugonjwa wa kuwepo kwa vipele kwenye midomo na sehemu za siri ambao kwa kitaalamu huitwa heper zoster.
1.Kwanza kabisa tunapaswa kujua kuwa ugonjwa huu usababishwa na virus ambao kwa kitaalamu huitwa herpes zoster virus one and herpes zoster virus two, hawa virusi ushambulia zaidi kwenye sehemu za midomo hasa kwenye lips na kufanya midomo ipasuke pasuke na pia ushambulia sehemu za siri na kuziacha nazo zikiwa zimepasuka pasuka.
2.Pia ugonjwa huu unaweza mpata mtu yeyote lakini zaidi upenda kushambulia Watu ambao wana kinga ndogo ya mwili kwa mfano wagonjwa wenye kansa ya damu ambayo kwa kitaalamu huitwa lukemia, wale wenye Maambukizi ya virus vya ukimwi nao wako kwenye hatari ya kupata ugonjwa huu , pia na wale ambao wana kansa kwa mda mrefu nao wako kwenye hatari ya kupata Ugonjwa huu kwa sababu ya kinga yao kubwa chini.
3.Kwa hiyo kama tuna wagonjwa wenye Magonjwa yanayofanya kinga yao kuwa chini wanapaswa kuhakikisha kuwa kinga yao inakuwa juu kwa kupata dawa ambazo ufubaza virus vya ukimwi kwa wale wenye ugonjwa huu na pia kuwapatia mlo kamili wale wote wenye matatizo mbalimbali ya kiafya ili kuweza kuepuka na ugonjwa huu.
4.Pia Ugonjwa huu unaweza kusambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kwa njia tofauti kwa hiyo ni vizuri kabisa tukaweza kuepuka ugonjwa huu, hasa kwa wale wanaopenda kuhusiana kuwa na tahadhari na angalia una busu mtu wa namna gani kwa hiyo tuwe makini na pia wale wanaopenda kufanya ngono zembe kuwa makini sana ili kuweza kuepuka madhara kabisa.
5. Tunapaswa kujua kuwa ugonjwa unaosababishwa na virusi hauna dawa kwa hiyo kinga na kujiadhari ni kitu cha maana kabisa ili tuweze kuepuka na janga hili la kuwepo kwa Ugonjwa huu ambao uweza kusambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika post hii nitakwenda kukujuza kuhusu ugonjwa wa bawasiri
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na maumivu yanayosababishwa na mtiririko mdogo wa damu, kwa kawaida wakati wa mazoezi. Wakati mwingine huitwa upenyo wa vipindi, hali hii kwa ujumla huathiri mishipa ya damu kwenye miguu, lakini upenyo unaweza kuathiri mi
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa kisonono, ni ugonjwa unaosababishwa na mdudu ambaye kwa kitaalamu huitwa Neisseria gonococcal.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na Ugonjwa wa akili .
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dalili za mtu aliyegongwa na nyoka, nyoka ni kiumbe ambacho Kina sumu kali na sumu ikiingia mwilini mtu huwa na dalili mbalimbali
Soma Zaidi...Hii ni huduma ya kwanza kwa aliyeshambuliwa na pumu katika mazingira ambayo ni mbali na kituo cha afya, na hakuna dawa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za Homa ya uti wa mgongo, ni dalili ambazo ujitokeza kwa mtu Mwenye maambukizi kwenye uti wa mgongo.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi maambukizi kwenye epididimisi, ni maambukizi ambayo hutokea kwenye epididimisi na kusababisha matatizo mengi.
Soma Zaidi...Karibia fangasi wote hawa wanatibika bila ya ugumu wowote maka mgonjwa atakamilisha dozi.
Soma Zaidi...