Posti hii inahusu namna madonda koo yanavyotokea, ni jinsi na namna Magonjwa haya au Maambukizi yanavyotokea na kuweza kusababisha madhara kwa watu.
Jinsi madonda koo yanavyotokea
1.Kwanza kabisa tunapaswa kujua kuwa madonda koo ambayo kwa kitaalamu huitwa tonsils, Magonjwa haya usababishwa na bakteria na virusi, kwa hiyo ikiwa Maambukizi kwenye koo yamesababishwa na virusi ni vigumu kupona mpaka upasuaji uwepo ila kama yanasababishwa na bakteria tunaweza kutumia antibiotics na Maambukizi haya yakaisha.
2.Kuna Dalili zinazoonyesha kwamba Maambukizi yamesababishwa na virusi ambapo mgonjwa huwa na kikohozi, macho kuuma na mafua yanakuwa yanatiririka na kama Maambukizi yamesababishwa na bakteria Mgonjwa anakuwa na homa anavimba kwenye sehemu ya tonsils, na maumivu ya kichwa kwa hiyo tunapaswa kutofautisha Maambukizi ya bakteria na virus.
3.Tunajua kuwa kazi ya tonsils ni kuchuja wadudu na takataka zote ili zisiweze kuingia katika mfumo wa hewa, na katika takataka hizo kuna nyingine huwa zinakuja na virus au bakteria ambao ushambulia tonsils na kufanya wadudu waweze kuingia kwenye mfumo mwingine wa mwili.
4. Kwa hiyo tunapaswa kuchukua hatua ikiwa tutapata Maambukizi haya kwa sababu sababu yasipotibiwa mapema yanaweza kuleta madhara makubwa kama vile kushambuliwa sehemu nyingine za mwili kama vile kibofu cha mkojo, ini, moyo , mambukizi kwenye mfumo wa hewa, pia mtu anaweza kupata Nimonia Magonjwa yote kama hayo
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Posti hii inahusu zaidi madhara ya kushindwa kupitisha mkojo, ni madhara makubwa yanayotokea kwa mtu iwapo akishindwa kupitisha mkojo.
Soma Zaidi...Fangasi mdomoni wanaweza kuwa tatizo endapo hawatatibiwa mapema. Wanaweza kuongeza majeraha kwenye kinywa.
Soma Zaidi...Presha ya kushuka ama kitaalamu huitwa hypotension, presha ya kushuka ni hatari kwa afya kama ilivyo presha ya kupanda, maana mwili unakosa nguvu kabisa.
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha Dalili na ishara za kuvimba kope ambayo kitaalamu hujulikana Kama blepharitis.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa upele na matatibabu yake, ni ugonjwa unaosabavishwa na mdudu kwa kitaalamu huitwa mites sarcoptes scrabie mdudu huyu usababisha miwasho kwenye ngozi.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia ambazo VVU huambukizwa
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo baada ya tendo la ndoa
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi adhari za ugonjwa wa Homa ya inni, hizi ni athari ambazo zinaweza kutokea ikiwa ugonjwa huu wa inni haujatibiwa, zifuatazo ni athari za ugonjwa wa inni
Soma Zaidi...Madhara ya ugonjwa wa akili yanaweza kuwa ya muda au ya kudumu. Unaweza pia kuwa na zaidi ya ugonjwa mmoja wa afya ya akili kwa wakati mmoja. Kwa mfano, unaweza kuwa na ulegevu na ugonjwa wa matumizi ya madawa ya kulevya.
Soma Zaidi...HOMA YA MANJANO (yellow fever)Homa ya manjano ni maradhi yanayosababishwa na virusi na husambazwa na mbu.
Soma Zaidi...