Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwepo kwa vidonda, kwa sababu tunaona vidonda vinashambulia sehemu mbalimbali za mwili ila tunakuwa hatuna sababu kwa hiyo zifuatazo ni sababu za kuwepo kwa vidonda.
Sababu za kuwepo kwa vidonda.
1.Damu kushindwa kuzunguka katika sehemu mbalimbali za mwili, kuna wakati mwingine damu inashindwa kusafili kwenye baadhi ya sehemu mbalimbali kwa hiyo sehemu hiyo ikikosa damu seli za pale zinakufa na zikishakufa zinafanya sehemu hiyo kwa na kidonda.
2.Sababu nyingine ya pili ni magonjwa kwa mfano ugonjwa wa kisukari, tunaona kabisa Watu wenye ugonjwa huu wakishapata vidonda ni vigumu kupona na utakuta wengi wao wamefanyiwa upasuaji kwa hiyo kwa wale wenye tatizo la ugonjwa wa kisukari wawe makini ili wasiweze kupata vidonda kwa maana wanapata shida katika kupona.
3.Pia kuna tatizo jingine ambapo damu usafiri kutoka sehemu mbalimbali za mwili na kwenda kwenye moyo ila kuna wakati damu inashindwa kurudi na kuzunguka kwenye sehemu yake hiki kitendo Usababisha vidonda.
4.Kulala kwa mda mrefu.
Hali hiii uwapata wagonjwa wanaolala mda mrefu bila kugeuzwa kwa hiyo hupata matatizo kama hayo kwa hiyo tunapaswa kuwageuza wagonjwa wetu mara tu wanapopata Magonjwa ambayo yanawafanya wasiamke sehemu walipo.
5.Kwa hiyo tumeweza kujua sababu za vidonda kwenye miili yetu , tunapaswa kuepuka njia yoyote ya kuenea kwa tonsili kwa sababu ni mateso makali kwa wagonjwa kwa hiyo na wale ambao wamelala kitangandani kwa mda mrefu tunapaswa kuwafanyia usafi ili
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi kazi za ini, ni kiungo muhimu kwenye mwili ambacho Kina umuhimu sana, bila ini maisha ya mwanadamu yanaweza kuishia pabaya
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu wa protini
Soma Zaidi...Unadhanivkufanya kazi kunaweza kukusababishia maradhi ama mwili kudhoofu, ama kukonda. Umeshawahivkujiuliza wanao nenepa huwa hawafanyi kazi?
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa wagonjwa
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya kazi ya protin na vyakula vya protini mwilini
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa watoto
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia ambazo maradhi huambukizwa
Soma Zaidi...Hii post inahusu zaidi kazi za wahudumu wa afya wakati wa kutoa dawa, ni kanuni zinazopaswa kufuata wakati wa kutoa dawa kwa wagojwa.
Soma Zaidi...Kupanda kwa msukumo wa damu ni ktendo ambapo moyo husukuma damu kwa nguvu kuliko kawaida ambapo hupelekea matatizo mengi kwenye mwili
Soma Zaidi...